Wapenzi wa ndizi: Namna nyingine ya kupika ndizi tamu za kukaanga na nyama ya kuku/ng'ombe

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣! Ni kuwekana kwanza mengine mtajua mbele kwa mbele kama CCM ausio!! Umetishaaa 🤠🤠!!
Ewaaa, first day tunakutania lodge. Baada ya hapo mmoja akiona hajaridhika anasema na habari inaishia hapo.
 
Ni kweli, ukiwa na mtu unakosa uhuru wa kujiachia namna hii. Siku ukiona nimetulia nalike tu ujue tayari nishapata kitu!!!🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂🤠!

Kila la kheri mkuu vitu vipo sana tuliza akili tu utapata mbona!
 
Aah wapi, kuna nyakati mtu unakuwa ambitious ila ni heri kukaa namna hii kukwepa matatizo. Tupambane na hawa wa Bonyokwa, huenda wapo humu ila ID zetu hawazijui🤣🤣
 
Humu jf hivi watu wanaangalia hayo basi? Wao wanawaza kugusanisha bas!!🤣🤣🤣
Sio jf tu, hata huku Mpigi siku hizi watu hawaangalii hayo, kuna vitu vinafanyika siku hizi hadi unaogopa. First day na shughuli inaishia hapo...hakuna kucheleweshana.
 
Aah wapi, kuna nyakati mtu unakuwa ambitious ila ni heri kukaa namna hii kukwepa matatizo. Tupambane na hawa wa Bonyokwa, huenda wapo humu ila ID zetu hawazijui🤣🤣
Binyokwa 🤣🤣🤣!
Sure kabisa kuepuka maproblee nibora kutulia tu uridhike na ulichonacho! Vizuri haviishi!
 
Hatutulii madam, tumehamishia magoli huku Mbande🤣🤣🤣🤣🤣
 
Sio jf tu, hata huku Mpigi siku hizi watu hawaangalii hayo, kuna vitu vinafanyika siku hizi hadi unaogopa. First day na shughuli inaishia hapo...hakuna kucheleweshana.
Hakuna kugandana haha!!
 
Mkinga Unavopenda kuwekana sasa😂😂😂! Halafu si unataka kufundishwa katrexxxx ERoni changamkaaaa umfundishe mtrotro mkaree ile kitu ya Bukoba ya kurusha !!
Si unajua sie washamba kwenye hiyo sekta 🤣🤣🤣
Tumeyajulia ukubwani yanatupeleka race vibaya
 
Sio jf tu, hata huku Mpigi siku hizi watu hawaangalii hayo, kuna vitu vinafanyika siku hizi hadi unaogopa. First day na shughuli inaishia hapo...hakuna kucheleweshana.
Nipe nikupe raha tupate 🤣🤣😂
Imeisha hiyooo!!
Hatareee sana, watu wanaenda na muda 😂😂
 
🎶Honeyyyyyyyyyyyyy🎶🎶

ERoni Lamomy
🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️
 
Back
Top Bottom