Ndugu zanguni hodi hodi tunaingia. Sasa tunakuja kwa nguvu mpya. Kamanda Mbobezi mwenye uwezo mwingi na nguvu nyingi asiyechoka na hoja za ukweli anaingia.
Sio mwingine ni Kijana Jeuri, mjuaji, jasiri, mwelevi yule aliyetabiriwa na Mwl Nyerere. Sio mjeuri wa jinai bali wa akili, itikadi, mpenzi wa amani, haki, umoja na maendeleo ya watu. Ni Tundu Antiphasi Lissu.
Juzi Rais Samia akiwa Zanzibar 11 Jan 2023 ktk maadhimisho wa Mapinduzi amewasaasa wanasiasa wa chama chake kujiepusha na siasa za uhasama, ghiliba na fijo kwani hazina tija kwa Dunia ya leo ambao watu wanapaswa kuwa wastaraabu a ku focus kwenye siasa zenye tija kwa ustawi wa watu na taifa lao.
Kwa kusema hivyo anamanisha kuwa zile siasa za vitisho na kupania kuchomana sindano za sumu sasa iwe mwiko. Ni Kauli ya Amir Jeshi Mkuu wa Tanzania, Samia Suluhu Hasan( PhD causas).
Ikumbukwe kuwa ni katika viwanja vya mapambano ya hoja na mijadala huru ambapo vipaji vipya huibuliwa na kujenga fikra mpya za maendeleo.
Kuanzia miaka ya 70's hadi 2000's ndipo watu makini ktk siasa waliiburiwa . Nitatoa list ya mifano.
Cohort ya Kina Lowasa, JK, Warioba, Wasira, Ngombale Mwiru, Prof Shivji, Prof Mark Mwandosya na wengine wengi waliibuliwa ktk mijadala ya vyuo vikuu na viwanja vya siasa. Leo leo wamekuwa watu waliofanikiwa kwa mambo yao binafsi na Taifa kwa ujumla.
Cohort ya kina Nape, Makonda, makamba, Ali Hapi, Kigwangala usiwaone hivi hivi wakipanda vyeo na kuwin madaraka ukadhani wamefika huko kwa lelemama. Walikuwa watu wa kutoa hoja zao za kifikra, ustawi na kuleta maendeleo kwenye Taifa hili kupitia majukwaa ya kupingana kwa hoja. Nakumbuka miaka ya 2007 na 2018 akina Paul Makonda wakipinga kwa hoja na akina Bulembo na akina Mgeja vigogo wa ccm ndani ya chama chao.
Hali ile ilipelekea akina Nape kuukwaa Ukatibu wa uenezi na aki a Makonda kuwa maDC. Wakati ule hawakutimia mapanga wala visu kupingana. Bali walitimia uwezo wao wa kujenga hoja na ubunifu mkubwa. Ingawa hali ilibadilika baadae wakawa Mbwa wakali sana(hii sio mada ya leo)
Nakumbuka hivi karibuni kati ya 2000 na 2010 vyuo vikuu vilikuwa Chachu ya kujenga vijana wenye uelewa wa Nchi yao na uzalendo.
Baadae wakafanywa kuwa machawa tu. Na sasa wako bize na connection za ngono, kubeti a mipira. Vijana hawa wasilaumiwe kwa kuwa hawana alternative. Hawana kitu cha kujishughurisha nacho. Wamefanywa waoumbavu kwa makusudi na nchi inatafunwa wao hawana habari.
UDSM na SAUT inakumbukwa kuwa jiko la mapishi ya wanasiasa na wasomi bora hata Prof Kabudi, Dr Bashiru, Prof Luoga wamekulia kwenye mazingira hayo. Sas tuwapate watu wenye kaliba ya namna hij wapi tena? Kwa kweli miaka mitano iliyopita imekuwa jeneza la kuzika vipaji.
Huko Ulimwenguni kote ambako Demokrasia hujengwa kwa ajili ya maendeleo siasa za hoja na mijadal ya kifikra inapewa kipaumbele kuanzia mashule hadi vyuo vikuu.
Akina Nyerere hadi akina Paul Kagem ni mashahidi wakiwa huko Harvad university na wengine huko Urusi kwa wakomunist.
Sasa critical thinking imepewa tena nafasi. Hatutaki ugomvi na mtu.
Wanaccm jibuni hoja zetu. Hoja haipigwi rungu.
Siasa za uhasama sasa baasi.