Wapenzi wa tamthilia ya “In Love With Ramon” mpo?

ku
Itakua aibu sana kwao maana mwisho wa siku watarud kwa wale waliowaona wabaya.. kwakua hakutakua na kimbilio lingine
na wakat kile kibibi chao kina fabi kinakua na akili kuna wakat ananikera mwisho wao hautakua mzur kabisaa
 
aliponiacha hoi ni pale alipouza vijiko apate hela ya kamari
Urahibu mbaya sana

Mm ninaye mjomba nae alikuwa mrahibu wa hzo kamari unaambiwa ilifika kipindi aliuza gari lake na

alipotaka kuuuza na nyumba ndugu wakaingilia kati aisee ndio ilikuwa ponapona yake sa hv kaokoka na kamari kaacha kabisa ataki hata kuisikia
 
wa mexico wanajua bwana n maisha halisi kabisa yale hata pia n laana ya mkewe aliefariki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…