Wapi Dar naweza kupata kiwanja cha milioni mbili?

Njoo na 1.5M nakupa changu Chanika mwisho kwa Mheshimiwa
 
Kama uko serious nitafute
 
kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Karibuni GOBA
Nnaviwanja 3 vinakaribiana GOBA Center Ni umbali wa dk 5 kutoka barabara kuu Hadi viwanja vilipo kwa pikipiki
1 hiki ni ML 7 kinamsingi wa nyumba vya vyumba 2 ukubwa wa eneo Ni sqm 350

2 hiki Ni Ml 10 ukubwa Ni sqm 600

3 Ni sqm 890 Bei ML 25
Kwa picha zaidi na maelezo pia kwenda
 
Attachments

  • IMG_20221109_125330_011.jpg
    3.1 MB · Views: 47
Njoo mwasonga nikupe kilichopimwa kwa iyo pesa 28km kutoka Fery na 25km kutoka darahani Ila gharama za kusainisha kwa mwenyekiti n juu yako.
 
Goba center sehemu gani??? Naishi goba Nina wadau wawil wanatafuta kiwanja huku naomba more picha
 
Njoo mwasonga nikupe kilichopimwa kwa iyo pesa 28km kutoka Fery na 25km kutoka darahani Ila gharama za kusainisha kwa mwenyekiti n juu yako.
Mwenyekiti wa nn mkuu

Ilibid uwe na Tille deeds from Wizara ya Ardhi

Hii ya kuishia kwa mwenyekiti sio salama sana
 
Mwenyekiti wa nn mkuu

Ilibid uwe na Tille deeds from Wizara ya Ardhi

Hii ya kuishia kwa mwenyekiti sio salama sana
Kupitia s/mtaa inaumuhimu ktk kupata utambuzi...maana hata wakati wakufatilia hati itakulazimu ueahusiahe wao ktk kupitisha barua zako za kuomba umiliki kwaio kila kitu kipo kwa umuhimu wake mkuu...
 
Kupitia s/mtaa inaumuhimu ktk kupata utambuzi...maana hata wakati wakufatilia hati itakulazimu ueahusiahe wao ktk kupitisha barua zako za kuomba umiliki kwaio kila kitu kipo kwa umuhimu wake mkuu...
Nimekupata Vyema mkuu
 
TUNAUZA VIWANJA KWAAJILI YA MAKAZI
1.KILUVYA MADUKANI--BEI 8M (UKUBWA 20*20)
2.KIGAMBONI AVICK TOWN--BEI 12.4(UKUBWA 30*25)
3.BAGAMOYO FUKAYOSI--BEI 395,000/=(UKUBWA 20*25)
4.VIGWAZA BANDARI KUU--BEI 580,000/= (UKUBWA 20*20)
5.KIBAMBA eneo lipo barabarani--BEI 50M(UKUBWA HEKA 1 NA ROBO)
6.CHALIZE PINGO--BEI 1.5M KWA HEKA.
7.CHALINZE eneo lipo barabarani--BEI 17M KWA HEKA
Mawasiliano WhatsApp +255625234332
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…