Wapi Dar naweza kupata kiwanja cha milioni mbili?

Mko vizuri mkuu
 

Gharama sana hivi
 
Gezaulole hata cha 500k unapata, pesa yako tu
 
Viwanja vyenu ni surveyed plots....mnawasaidia clients wenu kupata hati miliki kutoka wizarani?
 
Kigamboni Puna, Yale, Pemba mnazi. Ukitoka ferry mpaka huko ni mbali kuliko anaetoka ubungo kwenda kibaha
 
Mbali balaaaa
Mbali toka wapi? hayo ni mawazo ya kitoto!! Kasi ya ukuaji wa mji ni kubwa mno!! Sikiliza: Miaka ile ya mwanzoni mwa 80 wakati wa operation nguvu kazi watu wasio na kazi mjini Dar walikuwa wanakamatwa na kupelekwa Geza ulole na kupewa maeneo ya kulima na kujenga huko bure!! Pia walikuwa wanapelekwa maeneo ya mbezi na kugawiwa mashamba huko bure!! Maeneo hayo yalikuwa yanaonekana kuwa ni mbali na porini!! Vijana walio wengi waliyatelekeza na kurudi mjini!! Wenye macho yao ya kuona mbali kiutu uzima waliyatunza nakuanzisha kilimo. Baada ya miaka 10 tu, sehemu hizo zikaanza kuwa ni mali sana!
 
haya makampuni ya kuuza viwanja siku izi ni mengi sana yameishaona kuna mgodi wa fedha kwenye viwanja, kiwanja cha milion 2 kiluvya unauziwa milion 7 tuoneeni huruma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…