Ahaa unachekeshaThe most disorganised upinzani ever.
CCM inashinda kwa mara nyingine.
Vyama vya upinzani vijipange upya kwa ajili ya uchaguzi wa 2025.
Anasubiri siku ya kufunga kampeni ila zitto Mungu anamuonaHivi ndo kusema huyu ‘jasusi mbobezi’ keshaacha kugombea urais?
Kuna taarifa rasmi labda iliyotolewa kuhusu yeye kutokuwa mgombea tena ambayo labda mimi sikuiona?
Manake yuko kimya sana.
Alitangaza mwenyewe kuhusu kimbunga cha ACT na kwamba hakizuiliki.
Au hicho kimbunga kimeishia kumsomba yeye mwenyewe?
Huyu mtu bado anagombea au hagombei?
Halafu yuko wapi?
Umeshachunguza fedha za Tl za kampeni zinatoka wapi?Seriously, Bernard Membe yuko wapi? Bado anagombea?
Hivi kweli unaamini alienda ACT kuutafuta uraisi?Kuna wajinga wachache walimjaza upepo, hasahasa wafuasi wa chadema, walimuaminisha kuwa yeye ni kiboko wa magufuli. Akaingia mzimamzima
Anatembeza bakuli.Umeshachunguza fedha za Tl za kampeni zinatoka wapi?
Mpaka Kwa Membe sioAnatembeza bakuli.
Walifunga A/C zake wakafunga A/C za kila mtu wanayeona anawasiliana na membe hasa akiwa ni mfanyabiashara au mtu yeyote mwenye kipato na hata alipojaribu kwenda Dubai kuchukua pesa wakampora zote na wasaidizi wake kuwekwa ndani wakachezea kichapo kujua kama wana siri yeyote ya pesa zake , kwa kifupi membe hana Pesa za kufanya kampeni kabanwa mbavu vibaya sana.Hivi ndo kusema huyu ‘jasusi mbobezi’ keshaacha kugombea urais?
Kuna taarifa rasmi labda iliyotolewa kuhusu yeye kutokuwa mgombea tena ambayo labda mimi sikuiona?
Manake yuko kimya sana.
Alitangaza mwenyewe kuhusu kimbunga cha ACT na kwamba hakizuiliki.
Au hicho kimbunga kimeishia kumsomba yeye mwenyewe?
Huyu mtu bado anagombea au hagombei?
Halafu yuko wapi?
Tatizo ni pesa za kuendesha kampeniAlijazwa upepo na watu wa Twitter na JF 🤣
Tatizo ni hana pesa wameziba kona zake zote kimya kimyaAhahahaaa alijazwa sifa na Chadema akajua atatoboa,kumbe kimbunga kimembeba mwenyewe.
CCM bila uchakachuaji bila wizi wa kura bila Polisiccm bila Tumeccm bila mahakamaccm bila wakurugenziccm bila Msajiliccm ni weupe sanaHata huyo mgombea Wa Vibendera wa Tanzania Chadema Ni Kumjaza tu upepo. Kwa Magufuli hatapata hata 20% Utaona tu.
Izo 20% ndo atapata magufuli
Kinachoongelewa kingine wewe unaleta kingine ,anatongozwa mwingine wewe ushavua bikiniHata huyo mgombea Wa Vibendera wa Tanzania Chadema Ni Kumjaza tu upepo. Kwa Magufuli hatapata hata 20% Utaona tu.
Chadema wana ruzuku kubwa wana Akiba nyingi kuliko vyama vingine hata umati wa mikutano yote huchangia pia ni vigumu chadema wafeli kufanya kampeniUmeshachunguza fedha za Tl za kampeni zinatoka wapi?
Hivi kweli unaamini alienda ACT kuutafuta uraisi?
Kuna kikundi cha chama chako lengo lao ni kuhakikisha mwenyekiti anakwama alichokipanga.
By the way Nani anampa pesa za kampeni Tl? Nani anamlinda humu nchini? Au unaamini ni Robert na USA?
Unamzungumzia yule mzee wa futuhi kesho uwanjani mwenye english mbovuKuna yule mwingine amegeuka comedy nahisi kesho atajifanya kondakta
Taarifa rasmi ya chama ni kumuunga mkono Lissu, ulitaka nyingine ipi zaidi?Kwa hiyo bado ni mgombea au si mgombea tena?
Kuna taarifa rasmi?
Utabiri: Bernard Membe hutaweza kutikisa hata unywele wa Rais MagufuliHivi ndo kusema huyu ‘jasusi mbobezi’ keshaacha kugombea urais?
Kuna taarifa rasmi labda iliyotolewa kuhusu yeye kutokuwa mgombea tena ambayo labda mimi sikuiona?
Manake yuko kimya sana.
Alitangaza mwenyewe kuhusu kimbunga cha ACT na kwamba hakizuiliki.
Au hicho kimbunga kimeishia kumsomba yeye mwenyewe?
Huyu mtu bado anagombea au hagombei?
Halafu yuko wapi?
Usipate shida kumjibu mwambie kuwa CCM bila wizi wa kura bila uchakachuaji hawana kitu ni weupe sana, hakuna Mtanzania mwenye Akili timamu anaichagua CCMKinachoongelewa kingine wewe unaleta kingine ,anatongozwa mwingine wewe ushavua bikini
Hahaha!,you made my dayHivi ndo kusema huyu ‘jasusi mbobezi’ keshaacha kugombea urais?
Kuna taarifa rasmi labda iliyotolewa kuhusu yeye kutokuwa mgombea tena ambayo labda mimi sikuiona?
Manake yuko kimya sana.
Alitangaza mwenyewe kuhusu kimbunga cha ACT na kwamba hakizuiliki.
Au hicho kimbunga kimeishia kumsomba yeye mwenyewe?
Huyu mtu bado anagombea au hagombei?
Halafu yuko wapi?
Atakuwa alilishwa maneno kwenye vitwiter feki feki vya kila siku
Membe wamemfanyizia kwa kubana njia zake zote za pesa hana pa kupata pesa ikabidi awe mpole tu,Taarifa rasmi ya chama ni kumuunga mkono Lissu, ulitaka nyingine ipi zaidi?