zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Mkuu wewe si huwa unasema ni mwanachama wa CHADEMA leo vipi tena?Kuna wajinga wachache walimjaza upepo, hasahasa wafuasi wa chadema, walimuaminisha kuwa yeye ni kiboko wa magufuli. Akaingia mzimamzima
Hawana mamlaka hayo kisheria lakini kwa utawala huu huwafanyizia watu na hawana cha kufanya kwa hofu ya kubambikiwa kesi ya uhujumu uchumi, hii ni mojawapo ya kero iliyopelekea watu wengi kuuchukia utawala huu wenye uonevu unyanyasaji mkubwa kwa wanasiasa wa upinzani na wafanyabiashara wakubwa.naomba ufafanuzi kidogo kwenye kufunga Akaunti ya benki ya mtu .Hvi serkali inaruhusiwa kwenda kumfungia mtu akanti yake ambayo ipo nje ya nchi bila sababu za msingi?Na je ikitokea hvyo ww mhanga unapaswa ufanye nn ili uweze kupata fedha zako?
Marafiki ndugu zake wote hasa wale wenye kipato wanafuatiliwa sana na baadhi wamefungiwa A/c zao kwa visingizio vya ajabu ajabu huku wakipokea vitisho vya kubambikiwa kesi za uhujumu uchumi, mbinu za polepole na siasa za kishamba shamba ndiyo imemtuliza membe mapema.Back up yake ilikuwa kigogo wa twitter. Jasusi wa kiwango chake kuchomolewa betri kirahisi hivyo inanipa shida ya uwezo wake kitaaluma, alishindwaje kujua hakubaliki? No data collection and analysis
Membe is arranging his shameless home return.Hivi ndo kusema huyu ‘jasusi mbobezi’ keshaacha kugombea urais?
Kuna taarifa rasmi labda iliyotolewa kuhusu yeye kutokuwa mgombea tena ambayo labda mimi sikuiona?
Manake yuko kimya sana.
Alitangaza mwenyewe kuhusu kimbunga cha ACT na kwamba hakizuiliki.
Au hicho kimbunga kimeishia kumsomba yeye mwenyewe?
Huyu mtu bado anagombea au hagombei?
Halafu yuko wapi?
Siyo hivyo Magufuli aliamua kuua career ya mwenzake kwa visasi visivyo na maana kabisa.Kuna wanasiasa hapa nchini ni wajinga!
Wakiona sifa kutoka kwa watu wawili watatu mitandaoni basi wanajiona wanaweza kuwa rais ndani ya wiki tu!
Mimi najiuliza hivi Membe kukaa kote na JK hajui kama tz ni zaidi ya twitter, jf na facebook?
Magufuli ndiyo hampendi Membe.Jamaa anamchukia sana JPM sijui walikosana kitu gani halafu mbona yeye hakupokonywa mashamba kama Sumaye
Polepole akimshauri uonevu wowote hutekeleza haraka pasipo kutafakari kwanzaSiyo hivyo Magufuli aliamua kuua career ya mwenzake kwa visasi visivyo na maana kabisa.
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Na tayari kampora pesa zake zote na kuwafungia A/C zake na za marafiki ndugu zake huku akiamuru afuatiliwe saa 24 kokote anapokuwa
Magufuli anajiandaa kuwa rais wa maisha hivyo lazima afanye kila linalowezekana kuua sauti zote ndani ya chama.Na tayari kampora pesa zake zote na kuwafungia A/C zake na za marafiki ndugu zake huku akiamuru afuatiliwe saa 24 kokote anapokuwa
Co asking.Seriously, Bernard Membe yuko wapi? Bado anagombea?
Swali la kuuliza ni wapambe wake humu JF waliojaza kurasa za jukwaa wakimnadi watwambie yuko wapi!Seriously, Bernard Membe yuko wapi? Bado anagombea?
Wenyewe walikuwa wakisema eti ‘twende na Membe’ 🤣🤣🤣.Swali la kuuliza ni wapambe wake humu JF waliojaza kurasa za jukwaa wakimnadi watwambie yuko wapi!
Je, are you impressed na Lissu?Wenyewe walikuwa wakisema eti ‘twende na Membe’ [emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Wajinga kabisa wale.
Sijawahi kuwa impressed na Membe hata kidogo.
Membe kajimaliza mwenyewe!Siyo hivyo Magufuli aliamua kuua career ya mwenzake kwa visasi visivyo na maana kabisa.
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Kapokonywa mpaka na za kwenye m-pesa na TigoPesa.Yeye kapokonywa pesa zake zote kimya kimya
PointMi nafikiri upnzani wa kweli utatoka ndani ya upinzani wenyewe - hawa wahamiaji toka CCM huwa ni kama upepo wa kisulisuli.