zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Mkuu wewe si huwa unasema ni mwanachama wa CHADEMA leo vipi tena?Kuna wajinga wachache walimjaza upepo, hasahasa wafuasi wa chadema, walimuaminisha kuwa yeye ni kiboko wa magufuli. Akaingia mzimamzima
Hahahhaha bora umeamua kuacha unafiki na kuongea uhalisia.
Shida hufahamu siasa, wapinzani hawakuwa na haja na Membe bali walitaka mpasuko tu CCM lakini kila mtu alikuwa anafahamu Lissu ndio mgombea otherwise Nyalandu but never Membe.
Ni kma chaguzi za chadema, nakumbuka CCM walipiga kelele kibao Mwambe ashinde. Sio sababu walimpenda ila walitaka ona mvurugano CHADEMA.
#NothingMuch NothingLess