Uchaguzi 2020 Wapi kimbunga cha Bernard Membe jamani?

Uchaguzi 2020 Wapi kimbunga cha Bernard Membe jamani?

Kuna wajinga wachache walimjaza upepo, hasahasa wafuasi wa chadema, walimuaminisha kuwa yeye ni kiboko wa magufuli. Akaingia mzimamzima
Mkuu wewe si huwa unasema ni mwanachama wa CHADEMA leo vipi tena?

Hahahhaha bora umeamua kuacha unafiki na kuongea uhalisia.

Shida hufahamu siasa, wapinzani hawakuwa na haja na Membe bali walitaka mpasuko tu CCM lakini kila mtu alikuwa anafahamu Lissu ndio mgombea otherwise Nyalandu but never Membe.

Ni kma chaguzi za chadema, nakumbuka CCM walipiga kelele kibao Mwambe ashinde. Sio sababu walimpenda ila walitaka ona mvurugano CHADEMA.

#NothingMuch NothingLess
 
naomba ufafanuzi kidogo kwenye kufunga Akaunti ya benki ya mtu .Hvi serkali inaruhusiwa kwenda kumfungia mtu akanti yake ambayo ipo nje ya nchi bila sababu za msingi?Na je ikitokea hvyo ww mhanga unapaswa ufanye nn ili uweze kupata fedha zako?
Hawana mamlaka hayo kisheria lakini kwa utawala huu huwafanyizia watu na hawana cha kufanya kwa hofu ya kubambikiwa kesi ya uhujumu uchumi, hii ni mojawapo ya kero iliyopelekea watu wengi kuuchukia utawala huu wenye uonevu unyanyasaji mkubwa kwa wanasiasa wa upinzani na wafanyabiashara wakubwa.
 
Back up yake ilikuwa kigogo wa twitter. Jasusi wa kiwango chake kuchomolewa betri kirahisi hivyo inanipa shida ya uwezo wake kitaaluma, alishindwaje kujua hakubaliki? No data collection and analysis
Marafiki ndugu zake wote hasa wale wenye kipato wanafuatiliwa sana na baadhi wamefungiwa A/c zao kwa visingizio vya ajabu ajabu huku wakipokea vitisho vya kubambikiwa kesi za uhujumu uchumi, mbinu za polepole na siasa za kishamba shamba ndiyo imemtuliza membe mapema.
 
Hivi ndo kusema huyu ‘jasusi mbobezi’ keshaacha kugombea urais?

Kuna taarifa rasmi labda iliyotolewa kuhusu yeye kutokuwa mgombea tena ambayo labda mimi sikuiona?

Manake yuko kimya sana.

Alitangaza mwenyewe kuhusu kimbunga cha ACT na kwamba hakizuiliki.

Au hicho kimbunga kimeishia kumsomba yeye mwenyewe?

Huyu mtu bado anagombea au hagombei?

Halafu yuko wapi?

Membe is arranging his shameless home return.

He is no longer relevant in politics.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Kuna wanasiasa hapa nchini ni wajinga!

Wakiona sifa kutoka kwa watu wawili watatu mitandaoni basi wanajiona wanaweza kuwa rais ndani ya wiki tu!

Mimi najiuliza hivi Membe kukaa kote na JK hajui kama tz ni zaidi ya twitter, jf na facebook?
Siyo hivyo Magufuli aliamua kuua career ya mwenzake kwa visasi visivyo na maana kabisa.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
CCM wanatumia nguvu kubwa kusaka kura kulazimisha kupendwa wakati chuki wametengeneza wenyewe kwa matendo yao ya hovyo hovyo hasa hiyo Tabia mbovu zaidi ya kuwabambikia kesi wapinzani na wafanyabiashara wakubwa kufunga A/c zao kwa visingizio visivyo na mashiko kutumia TRA kuwabambikia kodi kubwa kwa nia za kuwakomoa, kuwanyima nyongeza za mishahara watumishi wa umma kwa mda wa miaka mitano , imekuwa ni Serikali ya visasi uonevu mwingi mno tokea Nchi ipate uhuru haikupata kutokea unyanyasaji wa namna hii ya sasa chini ya utawala wa mtukufu na mshauri wake polepole.
 
Na tayari kampora pesa zake zote na kuwafungia A/C zake na za marafiki ndugu zake huku akiamuru afuatiliwe saa 24 kokote anapokuwa
Magufuli anajiandaa kuwa rais wa maisha hivyo lazima afanye kila linalowezekana kuua sauti zote ndani ya chama.

Miaka mitano ijayo kuna wanasiasa career zao ziko hatarini sana hasa January Makamba.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Swali la kuuliza ni wapambe wake humu JF waliojaza kurasa za jukwaa wakimnadi watwambie yuko wapi!
Wenyewe walikuwa wakisema eti ‘twende na Membe’ 🤣🤣🤣.

Wajinga kabisa wale.

Sijawahi kuwa impressed na Membe hata kidogo.
 
Wenyewe walikuwa wakisema eti ‘twende na Membe’ [emoji1787][emoji1787][emoji1787].

Wajinga kabisa wale.

Sijawahi kuwa impressed na Membe hata kidogo.
Je, are you impressed na Lissu?

Vipi vijana wafuasi wake Lissu watamnanga na kumtosa kama Lowassa na Membe akishindwa uchaguzi?

Hii ndiyo JF yenye kijiwe kisicho rasmi. Nadhani Mods, baada ya Uchaguzi, waweke, Jukwaa la Udaku
 
Mi nafikiri upnzani wa kweli utatoka ndani ya upinzani wenyewe - hawa wahamiaji toka CCM huwa ni kama upepo wa kisulisuli.
 
Maana simuoni akifanya kampeni mara ya mwisho alikuwa Kilwa. JamiiForums tuleteeni Membe nina maswali mengi juu yake.
 
Back
Top Bottom