Singo Batan
JF-Expert Member
- Apr 24, 2020
- 295
- 198
1. Picha lilianza kwa mbwembwe za kumpata mgombea makini, mbobezi wa siasa atakayeing'oa ccm
2. Ikafuata kumrubuni mzee Membe kuwa anakubalika nchi nzima na atampiga Pombe asubuhi kabisa
3. Membe kiburi kikamjaa akaleta jeuri kwa ccm (watu wakamtazama tu!)
4. Aliponyofolewa Lumumba, vijana wa zambarau wakamsajili kwa mbwembwe, tz ikalipuka kwa shangwe
5. Kampeni zikakaribia vijana wakajenga mazingira ya kuchomoa kale kapensheni, huku wakijua fika wana mgombea wao mfukoni
6. Bila hiyana wakambebesha bwaba Bernard ilani ya zambarau apeperushe, wakati wao wanaitambua ilani ya Ufipa
7. Bwana Kamilius akajitosa kuchukua fomu, na vijana maridadi kwa udalali wakamsindikiza Dodoma
8. Ufunguzi wa kampeni umefika, vijana wakamsukumia bwana Bwege aanzishe shoo huko kwao
9. Pesa zikaisha shushushu akakumbuka ana akaunti imenona huko Dubai, vijana walivyoinasa tu, wakamwambia "mwami vuta mpunga tukaliwashe lile tufani la kisurisuri kule Kigoma"
10. Kachero akajaa, kaenda kuvuta mpunga. (akasahau kabisa ile kauli yetu "ogopa matapeli, nyumba hii haiuzwi")
11. Vijana walipovuta tu chakwao, signal zikaita, kwa lafudhi za kilatini "hatumjui mtu huyu"
12. Mlango ukafungwa, kachero kabaki mdomo wazi, safari ya kurudi Lindi kwa mguu ikaanza, anasikia tu harufu ya "bata" kwa mbaaaali
*imeisha hiyo*