Wapi naweza kupata zaga na ngozi za ng'ombe kavu?

Jahadhari na wachina ni matapeli balaa
Usijichanganye hapo
Leo uume kesho anataka kakakuona hapo mvua 30 zinakuhusu
Hawa jamaa na magendo ni damu damu
Mkuu biashara yangu kuu ni uuzaji wa ngozi na mboro za ng'ombe.wala hakuna utapeli au kutaka kumtapeli mtu.Na hizi kazi hatufanyi na wachina kabisa.Nadhani jikite katika kufatilia hili uondokane na iyo mindset
 
Sawa kila la kheri
Ila kama unafanya biashara hizi na mzoefu lazima utajua kuwa machinjioni ndio zinapatikana hizo dhakari na ngozi
 
Back
Top Bottom