Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
zinaitwa ashoki,Ndugu zangu,natafuta mtu anayeweza kuwa na access ya upatikanaji wa mboro za ngo'ombe zikiwa kavu pamoja na ngozi za Ng'ombe ziwe kavu pia kwa wingi.
pale mbagala zakhiem,wauza nyama pembezini mwa barabara wanauza sana mambo hayo,
nadhani wanaweza kukupa ramani nzuri za hizo mambo, hata hivyo kwenye machinjio yoyote yale mathalani vinginguti unaweza kupata kirahisi sana na ukaenda kukausha mwenyewe nyumbani na kisha ukaendelea na ushirikina wako kwa uhuru zaidi,
au nakosea gentleman?🐒