Smartkahn
JF-Expert Member
- Jun 22, 2020
- 594
- 1,061
Mkuu tupe dodoso kidogo japo biashara ni siri. Matumizi yake ni nini..Ndugu zangu, natafuta mtu anayeweza kuwa na access ya upatikanaji wa mboro za ngo'ombe zikiwa kavu pamoja na ngozi za Ng'ombe ziwe kavu pia kwa wingi.
Nishawahi kuona mtu ana tafuta kuanzia kinyesi kinachotolewa kwenye tumbo ng'ombe ambae ameshachinjwa, ngozi pamoja ni hiyo, akasema anawapelekea wachina.