zinaitwa ashoki,Ndugu zangu,natafuta mtu anayeweza kuwa na access ya upatikanaji wa mboro za ngo'ombe zikiwa kavu pamoja na ngozi za Ng'ombe ziwe kavu pia kwa wingi.
Midume haijui kama imetekwa!Zishalipiwa zote mpaka mikoani yaani kuna midume ya ng'ombe zakari zao zishauzwa kitambo
Nenda kizota na VETA!Dodoma
Mods wamerekebisha_Zaga!zinaitwa ashoki,
pale mbagala zakhiem,wauza nyama pembezini mwa barabara wanauza sana mambo hayo,
nadhani wanaweza kukupa ramani nzuri za hizo mambo, hata hivyo kwenye machinjio yoyote yale mathalani vinginguti unaweza kupata kirahisi sana na ukaenda kukausha mwenyewe nyumbani na kisha ukaendelea na ushirikina wako kwa uhuru zaidi,
au nakosea gentleman?π
Bora ya Zaga!Mod nae kabadilisha kaandika kihuni eti Zaga, badalanya uume
wamefanya vizur sana aise πMods wamerekebisha_Zaga!
Hujambo mwanasiasa!wamefanya vizur sana aise π
Zaga, Zaga kitendea kazi kwa jinsia ya kiume/hata wanyama kurututubisha kupitia huko na kuleta mimba au bila mimba ndio Zaga!Sasa Zaga ndio nn wana haribu biashara za watu
Anza kujenga mtandao wako machinjio mbalimbali kwa kupandia beiTunazipataje na sisi?
Kutengeneza nyuzi za kufanyia upasuaji.. Usikisia nyuzi za nyama ndio hizo.. Yaani ukishashonwa hakuna kutoa nyuzi tenaWanakula au kuna shughuli zake zingine?
Mungu ni mwema sana ndugu mTanzania mwenzangu sijambo,Hujambo mwanasiasa!
Uko sriaz kwl! bei ya mazaga zaga kwa klo unanuaje je ww ofs yako ipo wapi na klo ya ngoz ya ng'ombe unanunuaje maana ukifka bei yang nitakuletea mzgo mwngNdugu zangu, natafuta mtu anayeweza kuwa na access ya upatikanaji wa mboro za ngo'ombe zikiwa kavu pamoja na ngozi za Ng'ombe ziwe kavu pia kwa wingi.
ππππNdugu zangu, natafuta mtu anayeweza kuwa na access ya upatikanaji wa mboro za ngo'ombe zikiwa kavu pamoja na ngozi za Ng'ombe ziwe kavu pia kwa wingi.
Duh elimu haina mwisho. ShukraniKutengeneza nyuzi za kufanyia upasuaji.. Usikisia nyuzi za nyama ndio hizo.. Yaani ukishashonwa hakuna kutoa nyuzi tena
Vilevile kwa ajili ya kutengeneza dawa za nguvu za kiume
Zipo unazitaka?Kijana Mwachiluwi ,huko uliko hamna Mboro za ng'ombe?