Wapi naweza kupata zaga na ngozi za ng'ombe kavu?

Ndugu zangu, natafuta mtu anayeweza kuwa na access ya upatikanaji wa mboro za ngo'ombe zikiwa kavu pamoja na ngozi za Ng'ombe ziwe kavu pia kwa wingi.
Mkuu tupe dodoso kidogo japo biashara ni siri. Matumizi yake ni nini..

Nishawahi kuona mtu ana tafuta kuanzia kinyesi kinachotolewa kwenye tumbo ng'ombe ambae ameshachinjwa, ngozi pamoja ni hiyo, akasema anawapelekea wachina.
 
Hata soup sijaribu ,mimi nitie vidude vyenye ncha kali tumboni ?hata kama vimepikwaa...aaaah hapana.
Wamasai uku wanachinja we sema nikuletee tena ungesma mapema leo nilikuwa machinjion ila ijumaa nakuenda kukuchukulia
 
Hapo kwrny
Mkuu tupe dodoso kidogo japo biashara ni siri. Matumizi yake ni nini..

Nishawahi kuona mtu ana tafuta kuanzia kinyesi kinachotolewa kwenye tumbo ng'ombe ambae ameshachinjwa, ngozi pamoja ni hiyo, akasema anawapelekea wachina

Mkuu tupe dodoso kidogo japo biashara ni siri. Matumizi yake ni nini..

Nishawahi kuona mtu ana tafuta kuanzia kinyesi kinachotolewa kwenye tumbo ng'ombe ambae ameshachinjwa, ngozi pamoja ni hiyo, akasema anawapelekea wachina.
Kwenye kinyesi sifahamu maana hata kama Kina mantiki basi ni mbolea nadhani,ila iyo zaga ni kwa ajili ya kutengeneza bandages na ngozi ni matumizi mbali mbali ila west Africa ni msosi pia.
 
Kwenye ushirikina sipo huko kaka,jaribu kuchimba vitu na kujifunza kwanini uniwazie hivyo?
 
Kwenye ushirikina sipo huko kaka,jaribu kuchimba vitu na kujifunza kwanini uniwazie hivyo?
weka wazi bas apostle ili ukafanye nalo nini hilo zaga?

au ndio wale mloambiwa ukilikausha vizuri hilo zaga, na kisha usage vizuri, halafu ule unga wake unatia kidogo kwenye supu au uji ili eti kusisimua nguvu za kijinsia? right?🐒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…