Wapi naweza pata mtaji wa kuanzisha BAR

Hope mama Samia ananipigia simu anipe mtajiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™utafiti umekwisha kitabu tumeprint tutakutana tukikutana tena
 
Poleni tulikuwa tunaongea mambo yenu hadi tunafikia umri wa miaka 35πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
kuna kitu nimekipata Kwa Dr. Askofu amesema hii nchi ina ugonjwa unaitwa Overregulations, watakuja TRA, TFDA, Manispaa wote wanataka hapo hapo
 
Mkuu samahani unaweZA Ongeza maelekezo kidogo kwenye hili swala

Maana mpaka sasa ni moja kati ya biashara zipo kichwani kwangu natamani sana kuzifanya
 
Ongezea maelezo kidogo mkuu unyama gani huo let’s us get experience here
Biashara hii inalipa kimahesabu lkn kama wadau walivyosema
unyama ni mwingi Sana kwenye biashara hii
nipo kwenye godauni la kuuzia bia naona mengi
 
Biashara hii inalipa kimahesabu lkn kama wadau walivyosema
unyama ni mwingi Sana kwenye biashara hii
nipo kwenye godauni la kuuzia bia naona mengi
Mkuu hapa nakupata labda niwasanue kidogo wadau

Siku hizi kuna viwanda bubu watu wanatengeneza same same, property na wanakua na nembo ya TFDA, TRA, logo za kampuni husika then wanauza kwa bei poa, vijana wanakunywa pombe kali feki sana mtaani wawe makini
 
kuna kitu nimekipata Kwa Dr. Askofu amesema hii nchi ina ugonjwa unaitwa Overregulations, watakuja TRA, TFDA, Manispaa wote wanataka hapo hapo
Haujamalizia hadi biashara ifeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚hapo safi kabisa...

STRONG is the positive degree,STRONGER is comparative degree and STRONGEST is superlative
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…