Undetectable
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 1,570
- 2,076
Wewe jamaa ushagida visungura vingapi mpaka muda huu?Nileweshe
Kipindi cha mfungo wa mwezi Mtukufu wa Ramadhani unapendelea kupika au kula futari yenye mchanganyiko gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe jamaa ushagida visungura vingapi mpaka muda huu?Nileweshe
Kipindi cha mfungo wa mwezi Mtukufu wa Ramadhani unapendelea kupika au kula futari yenye mchanganyiko gani?
Mkuu samahani unaweZA Ongeza maelekezo kidogo kwenye hili swalaKatika vitu ambavyo usije kufanya kama biashara ya bar.
Itakufanya kupenda ushirikina mkubwa na dhambi nyingi ambazo uzeeni zitakutesa.
Na pili biashara ya bar ni kama mchezaji mpira msimu wako ukipita ni ngumu kurudi. Ni wachache sana waliweza kusimama mda mrefu.
Biashara hii inalipa kimahesabu lkn kama wadau walivyosema
unyama ni mwingi Sana kwenye biashara hii
nipo kwenye godauni la kuuzia bia naona mengi
Mkuu hapa nakupata labda niwasanue kidogo wadauBiashara hii inalipa kimahesabu lkn kama wadau walivyosema
unyama ni mwingi Sana kwenye biashara hii
nipo kwenye godauni la kuuzia bia naona mengi
Haujamalizia hadi biashara ife😂😂😂hapo safi kabisa...kuna kitu nimekipata Kwa Dr. Askofu amesema hii nchi ina ugonjwa unaitwa Overregulations, watakuja TRA, TFDA, Manispaa wote wanataka hapo hapo