Wapi nikatafute maisha kati ya Botswana, Mauritius,Namibia au Sychelles?

Natarajia kuingia kufanya kazi huko nitakutafuta mkuu.
 
Tarehe 24 - mwezi wa 8

Mkuu kama hutojali, hebu chakata hio😅
 
Wewe una taaluma gani, una ujuzi gani, una kipaji gani, unataka kwenda kufanya nini?

Nchi tofauti zinaweza kuwafaa watu tofauti kwa kutegemea na wao walivyo.
 
Inategemea unaenda kufanya Nini mkuu! South Africa jiandae kurudi maiti au mlemavu!
 
Mkuu hiyo ilikuwa zamani mambo ya udaktari
 
Fika syechelles patamu mwamba halafu washikaji wavivu wavivu so kama utakuwa mtu wa kujituma safi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…