Jemima Jackson
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 752
- 939
Naomba mawasiliano nahitaji mzigo kutoka South Africa kuja Dar,nani anielekeze wapi nitapa huduma hii.
Nicheki dmNaomba mawasiliano nahitaji mzigo kutoka South Africa kuja Dar,nani anielekeze wapi nitapa huduma hii.
Mzigo gani unataka kusafirisha...Naomba mawasiliano nahitaji mzigo kutoka South Africa kuja Dar,nani anielekeze wapi nitapa huduma hii.
asante.
Tayari nimeishapa asante.Mzigo gani unataka kusafirisha...
+255 754 50 76 59
Truck ya mizigo inatoka wiki ijayo pamoja na gari ndogo..
Nipata tayari.Mzigo wako uko Tz wacheki watu wa airTanzania upande wa mizigo.