Wapi nitapata mganga wa Kienyeji mzuri?

Wadau natafuta mganga bora kabisa atakayeizindika nyumba yangu kwani wachawi nananisumbua sana usiku.
 
Funga safari hadi Tanga, Wilaya ya handeni ulizia boda boda tu mganga mzuri watakupeleka bila shida maana wanawafahamu vizur
 
Mkuu fafanua vizuri,"alipigwa miti asubuhi" unamaanisha nini mkuu?
 
Wadau natafuta mganga bora kabisa atakayeizindika nyumba yangu kwani wachawi nananisumbua sana usiku.
Huyo huwezi kumpata,kwa sababu shetani hawezi kumpinga shetani mwenziwe,yaani hawezi kujizingua mwenyewe.

unaweza kudanganywa,tatizo likatulizwa kwa muda mfupi halafu baadaye linarudi kwa kasi zaidi,na wengine wanaendaga mbali zaidi na kukuachi mibalaa mingine.Trust me!

Fanya hivi,Ita mtumishi wa kanisa lolote linalo amini katika Roho na Kweli(linaloamini na kukiri kwamba Yesu ni Bwana).mpe hiyo deal atamaliza hiyo issue chap,halafu bure kabisa
 
Unaouita Wewe uhuni wenzako ndio uzalendo wako,na ole wao huyo Rais afie gerezani ndioo mtawatambua wazulu na waxhosa
 
What about the hereafter??
 
Itaje Apa kwa faida ya wengi
 
Zindiko la uhakika ni Damu ya Yesu Kristo. Tafuta Mkristo au mchungaji yeyote anayehubiri Injili ya kweli atakuelekeza kwa usahihi jinsi ya kufanya. Achana na mazindiko ya kishirikina na kichawi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…