Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Wadau natafuta mganga bora kabisa atakayeizindika nyumba yangu kwani wachawi nananisumbua sana usiku.
Ibada za kutakasa ardhi/makazi
Tuendelee na mtiririko wa mada zetu. Kama kuna kitu kinapokea uchafu na najisi za kila aina basi maji na ardhi vinaongoza...lakini leo ningependa nijikite kwenye ardhi pekee kwakuwa ndio makazi yetu yalipo. Ardhi inanajisiwa kwa kila namna kuanzia ukatili wa kutoa roho zisizo na hatia mpaka...