Wapi nitapata mganga wa Kienyeji mzuri?

Wapi nitapata mganga wa Kienyeji mzuri?

Wadau natafuta mganga bora kabisa atakayeizindika nyumba yangu kwani wachawi nananisumbua sana usiku.
 
Wadau natafuta mganga bora kabisa atakayeizindika nyumba yangu kwani wachawi nananisumbua sana usiku.
 
Wadau natafuta mganga bora kabisa atakayeizindika nyumba yangu kwani wachawi nananisumbua sana usiku.
Funga safari hadi Tanga, Wilaya ya handeni ulizia boda boda tu mganga mzuri watakupeleka bila shida maana wanawafahamu vizur
 
Achana na hiyo mambo kama una imani yako ya dini fanya maombi ama toa sadaka. Mimi yalinikuta mambo magumu sana mpaka nikakimbia nyumba nimeachia msala wapangaji.

Kuna mmoja alipigwa miti ndani asubuhi alikuta tende mezani. Achana kbs na hayo mawazo. Fanya toba tu. Mimi nilifukia kitu hata sikumbuki nilifukia sehemu gani ya nyumba SHIRIKI sitaki hata kuisikia.ACHANA NA MAWAZO HAYO.
Mkuu fafanua vizuri,"alipigwa miti asubuhi" unamaanisha nini mkuu?
 
Wadau natafuta mganga bora kabisa atakayeizindika nyumba yangu kwani wachawi nananisumbua sana usiku.
Huyo huwezi kumpata,kwa sababu shetani hawezi kumpinga shetani mwenziwe,yaani hawezi kujizingua mwenyewe.

unaweza kudanganywa,tatizo likatulizwa kwa muda mfupi halafu baadaye linarudi kwa kasi zaidi,na wengine wanaendaga mbali zaidi na kukuachi mibalaa mingine.Trust me!

Fanya hivi,Ita mtumishi wa kanisa lolote linalo amini katika Roho na Kweli(linaloamini na kukiri kwamba Yesu ni Bwana).mpe hiyo deal atamaliza hiyo issue chap,halafu bure kabisa
 
Unaouita Wewe uhuni wenzako ndio uzalendo wako,na ole wao huyo Rais afie gerezani ndioo mtawatambua wazulu na waxhosa
 
Muishike dini kama roho zenu😂😂😂 aisee mie ndio maana mambo ya dini yamenishinda maana unafiki siwezi!

I love eating cookies,,,dini inakataza
I love music,,,dini inakataza
I like booze,,,dini inakataa

How the hell will life be! Ukienda upande mwengineo kule ndio balaa maana utakuwa mtumwa milele na ukikosea masharti linakukuta jambo! Bora upande wa dini huku hata usipofata masharti hudhuriki
What about the hereafter??
 
Mkuu, usikilize wanaokwambia mambo ya Yesu..walio wengi hata nyumba hawana.

Back to the topic.

Njoo pm nikuelekeze dawa simple ambayo hutatumia hata elfu 5 kuitengeneza na sitakuomba hata senti 1 kukuelekeza.
Nikikuomba hata senti 1 niripoti kwa mods au Maxence Melo nipigwe ban ya milele.
Karibu kama upo serious
Itaje Apa kwa faida ya wengi
 
Zindiko la uhakika ni Damu ya Yesu Kristo. Tafuta Mkristo au mchungaji yeyote anayehubiri Injili ya kweli atakuelekeza kwa usahihi jinsi ya kufanya. Achana na mazindiko ya kishirikina na kichawi.
 
Back
Top Bottom