Wapi nitapata mganga wa Kienyeji mzuri?

Wapi nitapata mganga wa Kienyeji mzuri?

Hii ni mbaya sana kwakweli,yani inafikia mahali ili ufanikiwe ni mpaka utoe roho ya mtu,hivi binadamu tunaelekea wapi...
 
Sometimes hao wakongwe hawajitambui tu ila mganga na mfanya biashara wanaweza kuwa walengwa.

Huko nyanda za juu kusini wanakula watoto zao.

Huko kwa baba Jenet wanachukua watoto wa watu.

Uko wapi Mungu wetu, usinyamaze kimya kwa ajili ya mauaji ya wasio na hatia, watetee Bwana.
 
Watu wa Geita, Shinyanga na Tabora wanaamini katika ushirikina mpaka wamepitiliza.

Hata sisi watu wa Tanga tuna imani za kishirikina kwa sehemu fulani, ila hawa wenzetu wamezidi kwa kweli. Sijui ujinga uliopotiliza!
 
Nimemkuta mwanangu kalala kifudifudi nikambeba nikampeleka nyumbani na kutoa taarifa???? Hapa ushahidi ushapotea kabisa alitakiwa atowe taarifa halafu ndio polisi waseme nini kifanyike. Mganga afrika hata kama hujafanya kiimani ndie mtuhumiwa mkubwa.

Ndukiiii [emoji239][emoji239][emoji239]
 
Watu wa Geita, Shinyanga na Tabora wanaamini katika ushirikina mpaka wamepitiliza.

Hata sisi watu wa Tanga tuna imani za kishirikina kwa sehemu fulani, ila hawa wenzetu wamezidi kwa kweli. Sijui ujinga uliopotiliza!
Sisi tumejikita kwenye USINGA ili kulinda mbususu ya mke isichakachuliwe na VISIMO ili jirani na ndugu wasikuzidi kiuchumi.l
Tanga hata wanaotafuta utajiri wa haraka, hawatoi ndugu au watoto kafara. Ni kiapo tu.
 
Kusema ukweli nimechoka hadi mwisho! Napata wakat mgumu mnoo kwenye biashara yangu ambayo nimeisajili kama kampuni, nakutana na vitendo vya kishirikina sana na changamoto nyingi ambapo nachoamini ni kupata tu mganga konk! Naomba mwenye conection walah ninusuru mie mungu atakulipa
 
Vitendo gani vya kishirikina? maana hata awa wa MD wa kienyeji nao wame-specialize pia
 
Vitendo gani vya kishirikina? maana hata awa wa MD wa kienyeji nao wame-specialize pia
Vipo vingi sana! Hata wafanyakazi tu nikipata mfanyakazi mzuri ndan ya miez miwil mitatu anaondoka bila sababu hanidai mshahara wala hakuna kosa alilofanya, kiufup vita ya kiroho ni kubwa hadi mi mwenyewe nikifik ofisini nasinzia tu na kujikuta nimechoka mnooo
 
usichukulie vitu personal, mfanyakazi kuondoka inaweza kuwa inasababishwa na wewe kutokuwapa hata mikataba ivyo anakua haioni future yake katika biashara yako.
 
Back
Top Bottom