Wapi nitapata mganga wa Kienyeji mzuri?

We imba tenzi..inawezekana hujakutwa na mazito....maybe pastors na manabii wengi hawajui exactly kutegua mitego Kama ilivotegwa...maana kazi yao kusema navunja..nachoma ..naunguza....ushawahi kufunga tatu kavu wewe..??uko tulikuepo na now we need a fast solution as soon as possible
 

Unaposemea njia panda ya chogo unafika au
 
Yote alimaliza alimaliza yote alimaliza pale Kalvari.
Maombi ya mwenye haki yafaa sana akiomba kwa bidii.


Ninyi mkikaa ndani Yangu,na maneno yangu yakikaa ndani yenu,ombeni mtakalo lote kwa Jina langu mtatendewa.
Yoh15:7

Swali kwako,
Nitajie jambo gumu ambalo unaona Mungu haliwezi.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Kakufanya nini? Hakikisha ukitaka kufanya huo ushetani nawe huna mawaa

Hivi unajisikia vip kakaako mkewe ambae ni shemeji yako anamuingiza hawara ndani na unajua na kuona dhambi inayofanyika kakaako anafukuzwa ndani mbele ya hawara yake nae yupo hapo hapo kweny nyumba mnayoishi . Ngoja niishie hapo ...
 
Nyie ndo mnafanya Maxence Melo apelekwe court kilasiku napia inaonyesha n jinsi gani unauelewa mdogo japo kila mtu anayake Ila usiuonyeshe upumbavu wako kwa watu mwenzio anataka mganga hataki habari za yesu .

Ukiwa umeshiba usifikirie kila mtu kashiba
 
Hivi unajisikia vip kakaako mkewe ambae ni shemeji yako anamuingiza hawara ndani na unajua na kuona dhambi inayofanyika kakaako anafukuzwa ndani mbele ya hawara yake nae yupo hapo hapo kweny nyumba mnayoishi . Ngoja niishie hapo ...
Jambo dogo sana... Wala sikushauri ufanye lolote .. Kama tutapewa uhai baada ya mwaka turudi kwenye hii post utaniambia
Huyo shemeji yako kama kweli kamkosea ndugu yako kihivyo mabaya yanamsubiri
 
Yeye ndio kasema huko kwa Wasukuma wala sio Mimi! Wasukuma uchawi wao mzuri sana nasikia mwendazake alikua na team nzima ya Walozi!
 
Jambo dogo sana... Wala sikushauri ufanye lolote .. Kama tutapewa uhai baada ya mwaka turudi kwenye hii post utaniambia
Huyo shemeji yako kama kweli kamkosea ndugu yako kihivyo mabaya yanamsubiri

Hivi tunavyozungumza ndgu yangu yupo mahakamani kuna kesi inayoendelea kwaajili yake shemj kaenda kushtaki kwakua ndgu yangu anamsumbua na ukicheki wana watoto 6 na yule hawara sasa katafuta gang wanamtafuta kwaajili ya kumuua, kuna black America mmoja ndio kaamua kumfadhili yupo ndani mda wote anatembea kwa kificho ficho, na huyo hawara ni kutoka congo. Wajumbe inauma hii sio utani utani
 
Nakuomba tafadhali fafanua aina ya tatizo uweze kusaidika kwa wepesi.. Waganga wana fani tofauti
Kuna ambao fani yao ni mahusiano tu
Kuna ambao fani yao ni madeni tu.
Kuna ambao fani yao ni kuua na kuharibu tuu nknk
[emoji1][emoji1][emoji1] wengine nazani fani zao ni kutafuna papuchi na kusaidia kugawa mimba wake za watu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…