Wapi nitapata mganga wa Kienyeji mzuri?

Binti mlokole
 
Mmh hii habari naona ni zaidi ya ulivyotusimulia... Pita na mmoja wengine watie adabu
 
Nimekwambia nitajie shida moja ambayo Mungu haiwezi.
Halafu tutaendelea kujadili kuhusu hilo la mdogo wako.
 
Nina shida binafsi nahitaji mtu mwenye kujua mganga mzuri ambaye anasaidia watu au ata yeye amemsaidia please siihitaji ushauri wala matusi kama uzi haukuusu kaa kimya hapa nahitaji mwenye kujua hili jambo tu narudia usije hapa kama hauna huyo mtu
Mpaka karne hii mnategemea kuroga????
 
Nina shida binafsi nahitaji mtu mwenye kujua mganga mzuri ambaye anasaidia watu au ata yeye amemsaidia please siihitaji ushauri wala matusi kama uzi haukuusu kaa kimya hapa nahitaji mwenye kujua hili jambo tu narudia usije hapa kama hauna huyo mtu

Madalali wa ulozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…