Wapi nitapata mganga wa Kienyeji mzuri?

Wapi nitapata mganga wa Kienyeji mzuri?

Nakuomba tafadhali fafanua aina ya tatizo uweze kusaidika kwa wepesi.. Waganga wana fani tofauti
Kuna ambao fani yao ni mahusiano tu
Kuna ambao fani yao ni madeni tu.
Kuna ambao fani yao ni kuua na kuharibu tuu nknk
Apo upo kundi gani mkuu?
 
Tuache utani ! Nenda Kenya ukutane na wakamba , wale wa vijijini kabisa wanaofuata masharti . Ni uhakika Ila ujue uchawi ni zaidi ya "machine gun" . Usikubali kuchukua uchawi Ila utengenezwe kiasi mtu akirusha bomu linarudi kwake mara mbili, hakika nakuambia wanaofanikiwa kimaisha kuna mganga pembeni.
 
Back
Top Bottom