makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Dar hakuna mganga, utaibiwa kwa mara ya pili.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah unamfanyia mwana maskhara wakati ana uchungu wa kuibiwa? Thats not fairNjoo kwangu Mimi ndio mganga maarufu huku Buza kwa Lulenge. Njoo PM utume Kwanza 50,000 ili mizimu ifurahie hii weekend
Mizimu inatakiwa ifurahi Kwanza. Weekend ndefu mjombaDah unamfanyia mwana maskhara wakati ana uchungu wa kuibiwa? Thats not fair
Dah, Mkuu kuna uncle wangu mmoja yupo kinondoni hapo ana MALIZA kwa buku 5 tu! Hana Makuu, anakuuliza Mara mbili mbili.. unauhakika? Uki confirm tu, ndani ya masaa 48 shughuli imeisha!Ukitaka KUWAMALIZA nicheki
Mkuu mimi wameiba kila kitu kwenye gari langu, naweza kukucheki pia?Ukitaka KUWAMALIZA nicheki
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Njoo kwangu Mimi ndio mganga maarufu huku Buza kwa Lulenge. Njoo PM utume Kwanza 50,000 ili mizimu ifurahie hii weekend
Karibu bila shakaMkuu mimi wameiba kila kitu kwenye gari langu, naweza kukucheki pia?
Usiku wa kuamkia leo, vibaka wamekata dirisha na kuniibia vitu mbalimbali, kwa hasira niliyo nayo na umaskini walionitia natafuta mganga wa kienyeji ili warudishe vitu vyangu na niwape fundisho ili wajue duniani hakuna vya bure.
Kwa dar wapi nitapata mganga mzuri jamani? Nipo serious
Mshana sio wewe ulisema umeokoka? [emoji849][emoji849][emoji849]Ukitaka KUWAMALIZA nicheki
Unatafuta mganga au mchawi??
Mganga ni yule anayetibu maradhi na mchawi ni yule anayetumia nguvu za "giza" (mesmerism and hypnotism) kutenda mambo ambayo katika hali ya kawaida yasingewezekana.
Nina kuja PM mkuuUkitaka KUWAMALIZA nicheki
🤣🤣Ukitaka KUWAMALIZA nicheki