Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,252
- 36,513
Nitoke Morogoro au Igunga kufuata mkaa wa buku. Hakika nitakuwa qualified inmate wa Mirembe.Njoo uone mkuu au nipigie 0711756341 nimezalisha kidogo natumia nyumbani! Kwasasa nina kilo elfu 1000 zipo tu sijui hata pa kuzipeleka!
Kiufupi ni kama ka kiwanda maana nimeunganisha na mota za umeme kuchanganyia!
Sambaza mkaa wako kwenye maduka na supermarkets kwa kuwawekea wholesale price ili sisi tununue rejareja.