Wapi nitapata soko la kuuza mkaa mbadala? Ujuzi wa kuzalisha ninao, mwenye kujua soko anijuze tafadhali

Wapi nitapata soko la kuuza mkaa mbadala? Ujuzi wa kuzalisha ninao, mwenye kujua soko anijuze tafadhali

  • Huo mkaa unafaa kwa kuchomea nyama?
  • Malighafi yake ni nini?
  • Una uwezo wa kuzalisha magunia mangapi kwa wiki?
 
Back
Top Bottom