Wapiga kura tusichague wacheza kamari uchaguzi ujao, watoto wetu wanaathirika

Hii katika uchaguzi wa wenyeviti wa vijiji ilimtoa kwenye kiti mwenyekiti wa kijiji fulani Mbeya ambaye ni rafiki yangu .

Katika nipe nikupe katika maongezi yangu na yeye siku nilipomtembelea kwake kumjulia hali baada ya miezi saba pasina kutiana machoni na rafiki yangu huyu ndipo nikakwea bodaboda mpaka kijijini kwake na nikakaribishwa kwa bashasha kuu pale nyumbani kwake penye wake zaidi ya wawili wote chini ya rafiki yangu huyu .

Katika kupiga soga ni hapo nikasema kaka imekuwaje wamekunyang'anya kiti kizembe namna hii ,nakumbuka rafiki yangu huyu alinitazama kwa huzuni na akacheka kicheko chenye kikohozi kwa mbali akasema mwanangu wewe acha tu ,yaani wanakijiji wameingilia mpaka maisha yangu binafsi eti wanadai hawataki kuongozwa na mtu anayecheza bonanza ,akawa kimya baada ya hapo .

Ikabidi nimpige swali la msingi kuwa je hayo madai ni ya kweli akasema kaka kama unavyojua vijijini kwetu huku bara zenyewe ni moja ama mbili sasa kila bar tayari kuna mashine ya mchina hivyo muda wa kupumzisha akili naenda kupata urabu na kutumia ila wakati mwingine napenda kusimama palipo na bonanza nikishuhudia wanavyocheza hilo guruguju ijapokuwa niliwahi jaribu mara moja ila katu sikuwahi endelea ijapokuwa kijiji kimeamua kunihumu hivyo .

Hakika ilikuwa ni hadithi yenye huzuni haswa kwangu kwa rafiki yangu kuenguliwa kisa kamari ,kwa hivyo nashawishika kuwajulisheni kuwa kamari na uongozi hakika si marafiki kwa maana unao waongoza wanaweza wasipende hiyo kariba .

Ahsnteni ,wenu katika unyetishati wa habari za umbea katika kipindi hichi cha uchaguzi mkuu nchini Tanzania MENEMENE TEKERI NA PERESI
 
Tulikuwa na kikao cha ukoo juzi tumekubaliana HAKUNA KUSHIRIKI UCHAGUZI!
 
We unaonaje mkuu, kutekeleza NRNE kuna changamoto sana, hata kama turnout itakua ndogo election itapigwa tu
Hata uchaguzi usipofanyika kabisaa tume itatangaza CCM imepita bila kupingwa; mitano tena hadi 2030.
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Hii katika uchaguzi wa wenyeviti wa vijiji ilimtoa kwenye kiti mwenyekiti wa kijiji fulani Mbeya ambaye ni rafiki yangu .

Katika nipe nikupe katika maongezi yangu na yeye siku nilipomtembelea kwake kumjulia hali baada ya miezi saba pasina kutiana machoni na rafiki yangu huyu ndipo nikakwea bodaboda mpaka kijijini kwake na nikakaribishwa kwa bashasha kuu pale nyumbani kwake penye wake zaidi ya wawili wote chini ya rafiki yangu huyu .

Katika kupiga soga ni hapo nikasema kaka imekuwaje wamekunyang'anya kiti kizembe namna hii ,nakumbuka rafiki yangu huyu alinitazama kwa huzuni na akacheka kicheko chenye kikohozi kwa mbali akasema mwanangu wewe acha tu ,yaani wanakijiji wameingilia mpaka maisha yangu binafsi eti wanadai hawataki kuongozwa na mtu anayecheza bonanza ,akawa kimya baada ya hapo .

Ikabidi nimpige swali la msingi kuwa je hayo madai ni ya kweli akasema kaka kama unavyojua vijijini kwetu huku bara zenyewe ni moja ama mbili sasa kila bar tayari kuna mashine ya mchina hivyo muda wa kupumzisha akili naenda kupata urabu na kutumia ila wakati mwingine napenda kusimama palipo na bonanza nikishuhudia wanavyocheza hilo guruguju ijapokuwa niliwahi jaribu mara moja ila katu sikuwahi endelea ijapokuwa kijiji kimeamua kunihumu hivyo .

Hakika ilikuwa ni hadithi yenye huzuni haswa kwangu kwa rafiki yangu kuenguliwa kisa kamari ,kwa hivyo nashawishika kuwajulisheni kuwa kamari na uongozi hakika si marafiki kwa maana unao waongoza wanaweza wasipende hiyo kariba .

Ahsnteni ,wenu katika unyetishati wa habari za umbea katika kipindi hichi cha uchaguzi mkuu nchini Tanzania MENEMENE TEKERI NA PERESI
kaka vijana wanapotea kwa bet, wanadhani watatoboa kwa kubet,kumbe ndio wanapoteza zaidi. na wizi unazidi vijtonojini kutafuta pesa ya kubet au kulipa deni baada ya pesa ya kulipa deni kuliwa kwenye bet.
 
Hii katika uchaguzi wa wenyeviti wa vijiji ilimtoa kwenye kiti mwenyekiti wa kijiji fulani Mbeya ambaye ni rafiki yangu .

Katika nipe nikupe katika maongezi yangu na yeye siku nilipomtembelea kwake kumjulia hali baada ya miezi saba pasina kutiana machoni na rafiki yangu huyu ndipo nikakwea bodaboda mpaka kijijini kwake na nikakaribishwa kwa bashasha kuu pale nyumbani kwake penye wake zaidi ya wawili wote chini ya rafiki yangu huyu .

Katika kupiga soga ni hapo nikasema kaka imekuwaje wamekunyang'anya kiti kizembe namna hii ,nakumbuka rafiki yangu huyu alinitazama kwa huzuni na akacheka kicheko chenye kikohozi kwa mbali akasema mwanangu wewe acha tu ,yaani wanakijiji wameingilia mpaka maisha yangu binafsi eti wanadai hawataki kuongozwa na mtu anayecheza bonanza ,akawa kimya baada ya hapo .

Ikabidi nimpige swali la msingi kuwa je hayo madai ni ya kweli akasema kaka kama unavyojua vijijini kwetu huku bara zenyewe ni moja ama mbili sasa kila bar tayari kuna mashine ya mchina hivyo muda wa kupumzisha akili naenda kupata urabu na kutumia ila wakati mwingine napenda kusimama palipo na bonanza nikishuhudia wanavyocheza hilo guruguju ijapokuwa niliwahi jaribu mara moja ila katu sikuwahi endelea ijapokuwa kijiji kimeamua kunihumu hivyo .

Hakika ilikuwa ni hadithi yenye huzuni haswa kwangu kwa rafiki yangu kuenguliwa kisa kamari ,kwa hivyo nashawishika kuwajulisheni kuwa kamari na uongozi hakika si marafiki kwa maana unao waongoza wanaweza wasipende hiyo kariba .

Ahsnteni ,wenu katika unyetishati wa habari za umbea katika kipindi hichi cha uchaguzi mkuu nchini Tanzania MENEMENE TEKERI NA PERESI
Wajumbe wana akili sana, usidhani kuwa hawana akili na huruma kwa watoto wao.
 
Kwasasa naomba niache kaka sihitaji majdiliano yoyote kwanza nipoze moyo na akili yangu ,kumbe Tanzania kuna ubaguzi wa kikabilia bado .

Wamalila wamalil wamalila nimewaita mara tatu ,mtanikumbuka
 
Kamari zimetapakaa hadi kwenye vitongoji vya vijijini kila mahali penye umeme nchini. Redio zote kuanzia za umma na watu binafsi zote ni kamari tu. Kijijini nimeshuhudia kijana kauawa kwenye dubwi kwa kugombea TSH 4000 tu wakati wakibishana juu ya nani amekula, ni za nani.

Wanafunzi wanabet hata ada za shule, na dereva wa bodaboda wanabeti pesa ya hesabu ya tajiri. Wakulima wanabet pesa walizopata baada ya kuuza mazao na mifugo.

Vijana wanabet hata siku na muda wa kazi, bila shaka uchumi utashuka sana kama hatua kali hazitachukuliwa kuhusu kamari.

Tusichague wagombea ambao ni maarufu kwa betting, wataliangamiza taifa, tuwaogope kama ukoma.
Jamani kubet sii ndio kuniajiri kwenyewe huko
 
Back
Top Bottom