uwe hodari
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 4,045
- 8,608
- Thread starter
-
- #201
nchi moja watu wamoja.
akuna mtu wa kutugawa kwa uzushi wa vijisababu vya kipuuzi.
Tanzania ingetokea baba wa taifa angekuwa muislamu wakristo wangepata shida sanaWewe ndiye mwenye macho ya dini,maana mpaka Salam ya mpenja imekukera,pande zote za dini Zina wapuuzi Kama wewe..na mnaongezeka,ipo siku mtakua wengi na mtararuana makoromeo
Maadili ya utangazaji kwa nchi secular lazma yazingatiwe! Sidhani kama miongozo ya TCRA inahimiza upuuzi unaoongelewa!Nadhani ni private company, hivyo wana haki ya kufanya chochote wanachotaka
Kabisa, Watangazaji wote wa kike shurti kuvaa khijab etiWiki iliyopita nilisoma uzi wa mdau kuhusu Azam media kuepuka kutaja neno Christmas kwenye maudhui yao ya kutakia watanzania heri ya sikukuu za mwisho wa mwaka.
Ni kweli sio bahati mbaya ni mipango yao kwa kuwa ni kampuni binafsi hata wakilalamika watachoka wataacha
Sasa nikajipa jukumu la kuchunguza angle fulani ya wapiga picha wa Azam media hasa wanaorusha mpira wa ligi kuu
Ndipo nikafikia swali kujiuliza hawa watu wanataaluma kweli au ndio wanafuata matakwa ya boss
Kitu cha kwanza nilichogundua ukiwa umevaa mavazi fulani yenye utamaduni wa imani fulani ndani ya dakika tisini wanaweza kumzoom huyo mtu hata mara kumi iwe mwanamke au mwanaume
Je hawa watangazaji huwa wanapewa maelekezo au ndio mahaba yao binafsi? Kwamba uwanjani kipaumbele ni watu fulani ndio wenye hadhi ya kuwa spotted na camera?
Kama huamini jaribu kuvaa kama waarabu nenda uwanjani utaona kila muda upo live kwa TV
Kitu kingine pale uwanja wa Dodoma kuna nyumba ya ibada alijenga Gadafi ile nyumba kama kuna mechi pale huwa inafanyiwa coverage kuliko hata matukio ya uwanjani hivi azam haina mtu wa maudhui au ni mikakati yao
Upande wa pili kule Singida kuna nyumba ya ibada ipo karibu na uwanja ile nyumba kwa juu ina msalaba kitu cha kushangaza warusha picha huonyesha mashabiki waliokaa kwenye milima wakionyesha mpira ila huwa wanakuwa makini sana ule msalaba usionekane
Kitu kingine wanaopangwa kama watangazaji wa mchezo wanaopewa kipaumbele ni wale wanaosalimia kwa kwa salamu ya dini
TFF mtalaumiwa kama hii ligi itaharibiwa na hawa watu
Mnaona ligi ya Egypt ambayo ni kama nchi ya kiislam hawana ubaguzi wa kidini hata kidogo
Mnaona ligi ya Africa Kusini ambayo ni kama nchi ya kikrsto hawana ubaguzi wa kidini na ligi yao ni bora
Azam media ni kama wana ajenda yao waambiwe tu hawatafanikiwa na wanaweza kupotea kabisa
Kabisa, Watangazaji wote wa kike shurti kuvaa khijab eti
Mfano mzuri Fatma Almas Nyangasa kutoka ITV alikuwa havai kilemba, kwenda Azam Media kalazimika kuvaa kilemba, nasema alilazimika kwa sababu baada ya kutoka Azam na kuwe DC havai tena kilemba, hovyo kabisa Azam Media
Idiot, kwendaaNa Ivona kwenye Taarifa ya habar akitangaza ananyoa upara au ilimradi na ww uchangie mada h
Idiot, kwendaa
Waislamu wanafundishwa chuki na matusi kwa waisiokua waislamu tangu wakiwa watoto kwenye madrasa zao.
Nenda kaangalie Instagram post ya Mo Salah aliyoicaption merry Christmas uone jinsi gani Hawa watu wana chuki iliyopitiliza dhidi ya wakristo.
Hangover aijulie wapi huyu mnywa mataputapu.Are u sure? au bdo una hangover za jana
Kiukwel hata uelewek nin unazungumzaWajinga hawa ndio watashinda mwishon atakayepisha ni wadini ndio wataondoka
Kiukwel hata uelewek nin unazungumza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umezisoma post za wakristo wenzenu humu?Umesoma comments za kwenye Instagram post ya Mo Salah?
Mbona sisi hatusemi channel ya Taifa TBC kutwa nzima kurusha nyimbo za krismass kuanzia asubuhi mpaka usiku.wamezidiwa mpka na upendo tv .Mkuu unavaa nusu uchi na mapaja yako meusi then unataka uonekane Live Azam Tv ?
Vaeni vizuri bagarashia baibui Kama Mungu anavyotaka that all hakuna kingine
Nina uhakika 100%Una uhakika na uya andikayo au ndo kufuata mkumbo wa story za hekaya
Kaka em jiheshim bas.Umewatuhumu azam wan udin kisa wanaonesha wavaa kanzu na baibui tumekuomba uthibitisho unaleta bla bla bla za kiswahiliUnaowaita wajinga ndio wataeleweka mwishon na wanaotumia mpira kuleta maudhui ya udini hawatakuwa na nafasi
Onyesha comment inayosema Mungu katukataza kutumia azam tv ..Mimi nitakuonyesha wanaosema Mungu kawakataza kusherekea Christmas kama sio chuki dhiki ya wakristo na sherehe zao ni nini?Umezisoma post za wakristo wenzenu humu?
Unaonaje?
Hakuna udini wowote tatizo mimacho yako umeiweka kwenye engo hiyo, kwa mfano mechi ya Azam na Yanga udini ulikuwa wapi?Udini unaruhusiwa kwenye mpira?
Liongooooo, watangazaji na wafanyakazi wakristo wapo kibao pale uhai Sasa iweje iwe wewe mpita njia?Kwenye ajira nakuunga mkono niliwahi kukataliwa field kwa kigezo Cha dini