Wapiga picha wa Azam Media wana elimu Gani? Au wanafanya kusudi

Wapiga picha wa Azam Media wana elimu Gani? Au wanafanya kusudi

Wewe ndiye mwenye macho ya dini,maana mpaka Salam ya mpenja imekukera,pande zote za dini Zina wapuuzi Kama wewe..na mnaongezeka,ipo siku mtakua wengi na mtararuana makoromeo
Tanzania ingetokea baba wa taifa angekuwa muislamu wakristo wangepata shida sana
 
Nadhani ni private company, hivyo wana haki ya kufanya chochote wanachotaka
Maadili ya utangazaji kwa nchi secular lazma yazingatiwe! Sidhani kama miongozo ya TCRA inahimiza upuuzi unaoongelewa!
 
Waislamu wanafundishwa chuki na matusi kwa waisiokua waislamu tangu wakiwa watoto kwenye madrasa zao.

Nenda kaangalie Instagram post ya Mo Salah aliyoicaption merry Christmas uone jinsi gani Hawa watu wana chuki iliyopitiliza dhidi ya wakristo.
 
Wiki iliyopita nilisoma uzi wa mdau kuhusu Azam media kuepuka kutaja neno Christmas kwenye maudhui yao ya kutakia watanzania heri ya sikukuu za mwisho wa mwaka.

Ni kweli sio bahati mbaya ni mipango yao kwa kuwa ni kampuni binafsi hata wakilalamika watachoka wataacha

Sasa nikajipa jukumu la kuchunguza angle fulani ya wapiga picha wa Azam media hasa wanaorusha mpira wa ligi kuu

Ndipo nikafikia swali kujiuliza hawa watu wanataaluma kweli au ndio wanafuata matakwa ya boss

Kitu cha kwanza nilichogundua ukiwa umevaa mavazi fulani yenye utamaduni wa imani fulani ndani ya dakika tisini wanaweza kumzoom huyo mtu hata mara kumi iwe mwanamke au mwanaume

Je hawa watangazaji huwa wanapewa maelekezo au ndio mahaba yao binafsi? Kwamba uwanjani kipaumbele ni watu fulani ndio wenye hadhi ya kuwa spotted na camera?

Kama huamini jaribu kuvaa kama waarabu nenda uwanjani utaona kila muda upo live kwa TV

Kitu kingine pale uwanja wa Dodoma kuna nyumba ya ibada alijenga Gadafi ile nyumba kama kuna mechi pale huwa inafanyiwa coverage kuliko hata matukio ya uwanjani hivi azam haina mtu wa maudhui au ni mikakati yao

Upande wa pili kule Singida kuna nyumba ya ibada ipo karibu na uwanja ile nyumba kwa juu ina msalaba kitu cha kushangaza warusha picha huonyesha mashabiki waliokaa kwenye milima wakionyesha mpira ila huwa wanakuwa makini sana ule msalaba usionekane

Kitu kingine wanaopangwa kama watangazaji wa mchezo wanaopewa kipaumbele ni wale wanaosalimia kwa kwa salamu ya dini

TFF mtalaumiwa kama hii ligi itaharibiwa na hawa watu

Mnaona ligi ya Egypt ambayo ni kama nchi ya kiislam hawana ubaguzi wa kidini hata kidogo
Mnaona ligi ya Africa Kusini ambayo ni kama nchi ya kikrsto hawana ubaguzi wa kidini na ligi yao ni bora

Azam media ni kama wana ajenda yao waambiwe tu hawatafanikiwa na wanaweza kupotea kabisa
Kabisa, Watangazaji wote wa kike shurti kuvaa khijab eti

Mfano mzuri Fatma Almas Nyangasa kutoka ITV alikuwa havai kilemba, kwenda Azam Media kalazimika kuvaa kilemba, nasema alilazimika kwa sababu baada ya kutoka Azam na kuwe DC havai tena kilemba, hovyo kabisa Azam Media
 
Kabisa, Watangazaji wote wa kike shurti kuvaa khijab eti

Mfano mzuri Fatma Almas Nyangasa kutoka ITV alikuwa havai kilemba, kwenda Azam Media kalazimika kuvaa kilemba, nasema alilazimika kwa sababu baada ya kutoka Azam na kuwe DC havai tena kilemba, hovyo kabisa Azam Media

Na Ivona kwenye Taarifa ya habar akitangaza ananyoa upara au ilimradi na ww uchangie mada h
 
Waislamu wanafundishwa chuki na matusi kwa waisiokua waislamu tangu wakiwa watoto kwenye madrasa zao.

Nenda kaangalie Instagram post ya Mo Salah aliyoicaption merry Christmas uone jinsi gani Hawa watu wana chuki iliyopitiliza dhidi ya wakristo.

Una uhakika na uya andikayo au ndo kufuata mkumbo wa story za hekaya
 
Are u sure? au bdo una hangover za jana
Hangover aijulie wapi huyu mnywa mataputapu.

Huyu pombe zake ni zile za bei chee shilingi mia tano unapata ndoo nzima na bado ulewi.
 
Sasa wewe lawama zako ni zipi na zina msingi gani? Naona umeandika mambo meengi lkn points hakuna.
Elezea malalamoko yako yanalenga nini? Kama huna point tunaweza sema umejazwa na chuki za kidini.
N.B elewa kwanza boss wa azam media ni TIDO MHANDO ambaye mkristo labada lawama zako ungemtumia yeye kwanza
 
Mkuu unavaa nusu uchi na mapaja yako meusi then unataka uonekane Live Azam Tv ?

Vaeni vizuri bagarashia baibui Kama Mungu anavyotaka that all hakuna kingine
Mbona sisi hatusemi channel ya Taifa TBC kutwa nzima kurusha nyimbo za krismass kuanzia asubuhi mpaka usiku.wamezidiwa mpka na upendo tv .
 
Unaowaita wajinga ndio wataeleweka mwishon na wanaotumia mpira kuleta maudhui ya udini hawatakuwa na nafasi
Kaka em jiheshim bas.Umewatuhumu azam wan udin kisa wanaonesha wavaa kanzu na baibui tumekuomba uthibitisho unaleta bla bla bla za kiswahili

Jan kulikua na game,nmekwmabia kaangalie kisha ulete ushahid unabak kubwabwaja

Tumeleta ushahid wa picha za mashabik ambazo azam wamechukua

Maelezo yasio na uthibitisho ni yakuupzwa. Lete ushahid acha kelel

Leo Anacheza simba na kcmc kalete ushahid sio siasa zako
 
Umezisoma post za wakristo wenzenu humu?

Unaonaje?
Onyesha comment inayosema Mungu katukataza kutumia azam tv ..Mimi nitakuonyesha wanaosema Mungu kawakataza kusherekea Christmas kama sio chuki dhiki ya wakristo na sherehe zao ni nini?
 
Back
Top Bottom