Wapiga picha wa Azam Media wana elimu Gani? Au wanafanya kusudi

of course, umesema kweli siwezi kukataa. holywood pia movie zao nyingi zina kupigana bunduki sana na watoto wanaangalia. nakumbuka mkoa fulani siku moja dogo alijua wapi babake tajiri alikuwa anaweka bastola, akaivizia akabeba, akaenda mpesa akamnyooshea mhudumu akachukua pesa, alipokuwa anatoka tu kelele zikapigwa watu wakakusanyika wakampiga mawe hadi akafa. dingi ambaye ni tajiri kuja kukuta mtoto ashauawa kama kibaka kwasababu aliigiza yale ya kwenye movie.

the same ni kwenye mamovie ya kuchinjana yale ya azam, yameathiri sana watoto hasa kwasababu haikuwa movie, ilikuwa tamthilia. tamthilia inaingia moyoni zaidi ya movie kama hujui. niseme wote wa holywood na azam hawjafanya vyema. period.
 
Vijisababu zitakuwa sababu kubwa
nimekwambia shida yako ni njaa,umasikini na ujinga ndo kikwazo kwako mpaka unaleta chuki.
mradi wa mwendo kasi wamepewa waarabu wauendeshe.sisi wenye nchi yetu barabara yetu tumeshindwa kwasababu hakuna tunachoweza zaidi ya chuki,upigaji na majungu kama ulivyo wewe.
 
Vijisababu zitakuwa sababu hii ni Tanzania
 
Shabiby ana hotel dodoma? Sio za meley hizo?
 
Chai moto
 
Na madudu yenu mlioyaguga kule nani akaswali?

Chuki imeanzia hapo kwa Mungu wenu kuwakataza sasa Mo Salah kapost.. hiyo mipovu wanaitoa waislamu si ya nchi hii.
 
Nadhani ni private company, hivyo wana haki ya kufanya chochote wanachotaka
Hata Mimi sinatatizo na Azam, ila zile comments kwenye post za Mo Salah kuhusiana na Christmas ndio zimenishangaza sana. Chuki ya wazi ilijionesha
 
Hata Mimi sinatatizo na Azam, ila zile comments kwenye post za Mo Salah kuhusiana na Christmas ndio zimenishangaza sana. Chuki ya wazi ilijionesha
Chuki ya wazi dhidi ya nani? Na kwanini?
Mimi naona upendo wa kweli ulidhihirika.

Yani mtu hana undugu na Mo salah lakini kwa upendo anatamani Mo asipotee, Anaamua kumsahihisha na kumuonesha njia sahihi
 
Hebu nielemishe kidogo mkuu. Kwa kupiga picha mbele ya Christmas tree na kuandika neno Christmas, Mo Salah anakuwa amepotea kivipi?
 
Ila magaidi wote ni waislamu Al Qaeda, Al shabby, istamic state n.k
Mkuu kama kuandika tu ni mtihani kwako unaweza kuwajua magaidi wewe? Ulishawahi kuwasikia wakina Mc veigh?
 
Hebu nielemishe kidogo mkuu. Kwa kupiga picha mbele ya Christmas tree na kuandika neno Christmas, Mo Salah anakuwa amepotea kivipi?
Kwenye Quran Kuna Aya inayosema "hawatakuwa radhi mayahudi na manaswara hadi mfate mila zao" hiyo krismas ukiacha kupingana kwa wakristo wenyewe juu ya uhalali wake kidini bado sio mila ya waislam.
 
Tunataka tuone mpira sio maudhui ya dini kwenye mpira
Kwaio WORLD CUP KULE QATAR Cameraman hawakutakiwa kuonesha zile kanzi na vilemba vya waarabu we mpuuzi chuki ya dini itakuuwa k ww
 
Hebu nielemishe kidogo mkuu. Kwa kupiga picha mbele ya Christmas tree na kuandika neno Christmas, Mo Salah anakuwa amepotea kivipi?
Kwetu waislam kila kitu ni ibaada, kwahyo anapoazimisha tarehe ya Mungu jua (25 dec) na kuisherekea anakuwa anafanya ibaada ya kinyume na Allah. Shirk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…