Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
of course, umesema kweli siwezi kukataa. holywood pia movie zao nyingi zina kupigana bunduki sana na watoto wanaangalia. nakumbuka mkoa fulani siku moja dogo alijua wapi babake tajiri alikuwa anaweka bastola, akaivizia akabeba, akaenda mpesa akamnyooshea mhudumu akachukua pesa, alipokuwa anatoka tu kelele zikapigwa watu wakakusanyika wakampiga mawe hadi akafa. dingi ambaye ni tajiri kuja kukuta mtoto ashauawa kama kibaka kwasababu aliigiza yale ya kwenye movie.Umejaribu kuwa honest kuliko wenzio. Ila hapa nilipokuquote narekebisha kidogo, hivi kuna wanaowazidi Hollywood katika ku depict violence? Ima ya kihistoria au matukio ya kutunga? Kusema kuwa ni tamaduni za Middle East kuhamasisha kuchinjana ni unapotosha kwa makusudi. Kama vita, ni sehemu ya binadamu katika historia yake kupigana. Ndio maana tunashuhudia leo Urusi anauana na ndugu zake Ukraine na sio Waislam wala hawana asili ya Middle East. Kumekuwa na vita kuu mbili za dunia zilizosababishwa na wazungu wasio Waislam na ndio hao hao wanahatarisha vita kuu nyengine (Allah aepushie mbali). Na vita nyengine zisizo na hesabu. So kusema watu fulani tu ndio wanautamaduni wa kupigana Vita ni kuamua kujidanganya mwenyewe.
Hizo tamthilia (mimi siziangalii) hazina tofauti na movies za Hollywood za kihistoria zinazo onesha matukio ya kihistoria kama matukio ya vita. Ambayo pia watoto wanaangalia.
Wewe mlokole kuwa muadilifu.
the same ni kwenye mamovie ya kuchinjana yale ya azam, yameathiri sana watoto hasa kwasababu haikuwa movie, ilikuwa tamthilia. tamthilia inaingia moyoni zaidi ya movie kama hujui. niseme wote wa holywood na azam hawjafanya vyema. period.