Wapiga picha wa Azam Media wana elimu Gani? Au wanafanya kusudi

Wapiga picha wa Azam Media wana elimu Gani? Au wanafanya kusudi

Umejaribu kuwa honest kuliko wenzio. Ila hapa nilipokuquote narekebisha kidogo, hivi kuna wanaowazidi Hollywood katika ku depict violence? Ima ya kihistoria au matukio ya kutunga? Kusema kuwa ni tamaduni za Middle East kuhamasisha kuchinjana ni unapotosha kwa makusudi. Kama vita, ni sehemu ya binadamu katika historia yake kupigana. Ndio maana tunashuhudia leo Urusi anauana na ndugu zake Ukraine na sio Waislam wala hawana asili ya Middle East. Kumekuwa na vita kuu mbili za dunia zilizosababishwa na wazungu wasio Waislam na ndio hao hao wanahatarisha vita kuu nyengine (Allah aepushie mbali). Na vita nyengine zisizo na hesabu. So kusema watu fulani tu ndio wanautamaduni wa kupigana Vita ni kuamua kujidanganya mwenyewe.

Hizo tamthilia (mimi siziangalii) hazina tofauti na movies za Hollywood za kihistoria zinazo onesha matukio ya kihistoria kama matukio ya vita. Ambayo pia watoto wanaangalia.

Wewe mlokole kuwa muadilifu.
of course, umesema kweli siwezi kukataa. holywood pia movie zao nyingi zina kupigana bunduki sana na watoto wanaangalia. nakumbuka mkoa fulani siku moja dogo alijua wapi babake tajiri alikuwa anaweka bastola, akaivizia akabeba, akaenda mpesa akamnyooshea mhudumu akachukua pesa, alipokuwa anatoka tu kelele zikapigwa watu wakakusanyika wakampiga mawe hadi akafa. dingi ambaye ni tajiri kuja kukuta mtoto ashauawa kama kibaka kwasababu aliigiza yale ya kwenye movie.

the same ni kwenye mamovie ya kuchinjana yale ya azam, yameathiri sana watoto hasa kwasababu haikuwa movie, ilikuwa tamthilia. tamthilia inaingia moyoni zaidi ya movie kama hujui. niseme wote wa holywood na azam hawjafanya vyema. period.
 
Vijisababu zitakuwa sababu hii ni Tanzania
nimekwambia shida yako ni njaa,umasikini na ujinga ndo kikwazo kwako mpaka unaleta chuki.
mradi wa mwendo kasi wamepewa waarabu wauendeshe.sisi wenye nchi yetu barabara yetu tumeshindwa kwasababu hakuna tunachoweza zaidi ya chuki,upigaji na majungu kama ulivyo wewe.
 
ukiwa na pesa, lazima utakuwa na msimamo na pesa zako. binafsi hata enzi za ujinga kabla sijamjua Bwana, kwasababu sinywi pombe, sijawahi kutoa pesa yangu kumnunulia mwanamke au mtu yeyote pombe. wanawake wengine tulikuwa tunakutana wanaomba niwanyweshe kwanza kabla ya kufanay uchafu lakini nawaambia sumu mojawapo kwanguni pomba, pesa yangu haitakiwi kunnua pombe. ninachoongea hapa, ukiwa na pesa na una imani fulani usingependa pesa/jasho lako litumike kuimarisha jambo ambalo haulipendi, cha msingi wewe tafuta tv zingine uangalie, hao hata usiwalaumu kwanza wamejitahidi sana hata kuweka channel za kikristo, wengine wasingeweka kabisa.

waarabu ni wa ajabu sana kwenye imani, huwaambii kitu. sema kuna mmoja nilikuta kule dodoma, shabiby, kwenye hotel zake hata pombe unapata. nikasema uyu kweli mwarabu wa Gairo. nipo najenga lodge zangu fulani, na humo sitaruhusu pombe kuuzwa, na watakaoingia na kuzini humo lazima watakutana na tangazo kwamba uzinzi ni dhambi.
Shabiby ana hotel dodoma? Sio za meley hizo?
 
of course, umesema kweli siwezi kukataa. holywood pia movie zao nyingi zina kupigana bunduki sana na watoto wanaangalia. nakumbuka mkoa fulani siku moja dogo alijua wapi babake tajiri alikuwa anaweka bastola, akaivizia akabeba, akaenda mpesa akamnyooshea mhudumu akachukua pesa, alipokuwa anatoka tu kelele zikapigwa watu wakakusanyika wakampiga mawe hadi akafa. dingi ambaye ni tajiri kuja kukuta mtoto ashauawa kama kibaka kwasababu aliigiza yale ya kwenye movie.

the same ni kwenye mamovie ya kuchinjana yale ya azam, yameathiri sana watoto hasa kwasababu haikuwa movie, ilikuwa tamthilia. tamthilia inaingia moyoni zaidi ya movie kama hujui. niseme wote wa holywood na azam hawjafanya vyema. period.
Chai moto
 
Kwani uongo?

Ndiyo waislamu ni haram kusherekea sikukuu ya krisimasi.

Na sio kwa waislamu tu hata kwa wakristo wenyewe si wote wanaosherekea hii skukuu.

Wasabato ni wakristo na hawasherekei.

Sio chuki ni maandiko ndo yanavyotaka.

Wewe nikikwambia twende msikitini tukaswali kama ishara ya kuonyesha upendo kwa waislamu utakubali?
Na madudu yenu mlioyaguga kule nani akaswali?

Chuki imeanzia hapo kwa Mungu wenu kuwakataza sasa Mo Salah kapost.. hiyo mipovu wanaitoa waislamu si ya nchi hii.
 
Nadhani ni private company, hivyo wana haki ya kufanya chochote wanachotaka
Hata Mimi sinatatizo na Azam, ila zile comments kwenye post za Mo Salah kuhusiana na Christmas ndio zimenishangaza sana. Chuki ya wazi ilijionesha
 
Hata Mimi sinatatizo na Azam, ila zile comments kwenye post za Mo Salah kuhusiana na Christmas ndio zimenishangaza sana. Chuki ya wazi ilijionesha
Chuki ya wazi dhidi ya nani? Na kwanini?
Mimi naona upendo wa kweli ulidhihirika.

Yani mtu hana undugu na Mo salah lakini kwa upendo anatamani Mo asipotee, Anaamua kumsahihisha na kumuonesha njia sahihi
 
Hebu nielemishe kidogo mkuu. Kwa kupiga picha mbele ya Christmas tree na kuandika neno Christmas, Mo Salah anakuwa amepotea kivipi?
 
Hebu nielemishe kidogo mkuu. Kwa kupiga picha mbele ya Christmas tree na kuandika neno Christmas, Mo Salah anakuwa amepotea kivipi?
Kwenye Quran Kuna Aya inayosema "hawatakuwa radhi mayahudi na manaswara hadi mfate mila zao" hiyo krismas ukiacha kupingana kwa wakristo wenyewe juu ya uhalali wake kidini bado sio mila ya waislam.
 
Hebu nielemishe kidogo mkuu. Kwa kupiga picha mbele ya Christmas tree na kuandika neno Christmas, Mo Salah anakuwa amepotea kivipi?
Kwetu waislam kila kitu ni ibaada, kwahyo anapoazimisha tarehe ya Mungu jua (25 dec) na kuisherekea anakuwa anafanya ibaada ya kinyume na Allah. Shirk
 
Back
Top Bottom