Zima TV katafte shughuli nyengine, kama pesa unazo nunua ww haki za kurusha matagazo
Hiyo ni historia , mbona Wajapan hawalalamiki wachina kuwa na movies za kuua Wajapan ?Uko makin mkuu,hata mimi huwa nawachora tu
iLe tamthilia ya Osman bey au ile ya Etugrul,ingekuwa wakristo wanatabia kama za hawa ndugu zetu ingekuwa imeshazuiliwa
Maana kwenye Etugrul na hyo ya Osman bey kuna scene zinaonekana wakristo wakiuawa na hao watu wanaopenda kusema Allah wakibaru
Wewe unategemea watu wenye elimu ya madrasa peke yake wawe na akili ya kuchambua mambo? Wao wanaamini wataenda peponi kwa matukio wanayoonesha.Wiki iliyopita nilisoma uzi wa mdau kuhusu Azam media kuepuka kutaja neno Christmas kwenye maudhui yao ya kutakia watanzania heri ya sikukuu za mwisho wa mwaka.
Ni kweli sio bahati mbaya ni mipango yao kwa kuwa ni kampuni binafsi hata wakilalamika watachoka wataacha
Sasa nikajipa jukumu la kuchunguza angle fulani ya wapiga picha wa Azam media hasa wanaorusha mpira wa ligi kuu
Ndipo nikafikia swali kujiuliza hawa watu wanataaluma kweli au ndio wanafuata matakwa ya boss
Kitu cha kwanza nilichogundua ukiwa umevaa mavazi fulani yenye utamaduni wa imani fulani ndani ya dakika tisini wanaweza kumzoom huyo mtu hata mara kumi iwe mwanamke au mwanaume
Je hawa watangazaji huwa wanapewa maelekezo au ndio mahaba yao binafsi? Kwamba uwanjani kipaumbele ni watu fulani ndio wenye hadhi ya kuwa spotted na camera?
Kama huamini jaribu kuvaa kama waarabu nenda uwanjani utaona kila muda upo live kwa TV
Kitu kingine pale uwanja wa Dodoma kuna nyumba ya ibada alijenga Gadafi ile nyumba kama kuna mechi pale huwa inafanyiwa coverage kuliko hata matukio ya uwanjani hivi azam haina mtu wa maudhui au ni mikakati yao
Upande wa pili kule Singida kuna nyumba ya ibada ipo karibu na uwanja ile nyumba kwa juu ina msalaba kitu cha kushangaza warusha picha huonyesha mashabiki waliokaa kwenye milima wakionyesha mpira ila huwa wanakuwa makini sana ule msalaba usionekane
Kitu kingine wanaopangwa kama watangazaji wa mchezo wanaopewa kipaumbele ni wale wanaosalimia kwa kwa salamu ya dini
TFF mtalaumiwa kama hii ligi itaharibiwa na hawa watu
Mnaona ligi ya Egypt ambayo ni kama nchi ya kiislam hawana ubaguzi wa kidini hata kidogo
Mnaona ligi ya Africa Kusini ambayo ni kama nchi ya kikrsto hawana ubaguzi wa kidini na ligi yao ni bora
Azam media ni kama wana ajenda yao waambiwe tu hawatafanikiwa na wanaweza kupotea kabisa
Huu mwaka hii ndio THREAD ya KIPUMBAVU kuwahi kuwekwa humu JF.
Waarabu hawana sifa ya kuwa waafrika kwasababu wanakosa sifa nyingi wengi ni wajinga
Mleta mada hana akili na Kazi ya kufanya , udini umemjaa mada zake kila siku lazima zihusu waislamu au Waarabu kwa ubaya.NA ITOSHE KUSEMA MTOA MADA NI CHOKO...EBU UWE UNAPUNGUZA MAKASIRIKO K WW KWANI NI LAZIMA UTAZAME AZAM AU UMETUMWA KUICHAFUA?? MARA NGAPI CAMERAMAN WANAMUONESHA MAMA J SIKU AKIWA UWANJANI?? YAANI UMEJAA CHUKI ZA KIDINI KAMA SHOG* KHAA MNAKERA SANA *****
Lakini siyo kwenye mpira!Nadhani ni private company, hivyo wana haki ya kufanya chochote wanachotaka
doh hahahahaMkuu unavaa nusu uchi na mapaja yako meusi then unataka uonekane Live Azam Tv ?
Vaeni vizuri bagarashia baibui Kama Mungu anavyotaka that all hakuna kingine
Wagalatia na nyie mmeanza tabia ya kulalamika?Wiki iliyopita nilisoma uzi wa mdau kuhusu Azam media kuepuka kutaja neno Christmas kwenye maudhui yao ya kutakia watanzania heri ya sikukuu za mwisho wa mwaka.
Ni kweli sio bahati mbaya ni mipango yao kwa kuwa ni kampuni binafsi hata wakilalamika watachoka wataacha
Sasa nikajipa jukumu la kuchunguza angle fulani ya wapiga picha wa Azam media hasa wanaorusha mpira wa ligi kuu
Ndipo nikafikia swali kujiuliza hawa watu wanataaluma kweli au ndio wanafuata matakwa ya boss
Kitu cha kwanza nilichogundua ukiwa umevaa mavazi fulani yenye utamaduni wa imani fulani ndani ya dakika tisini wanaweza kumzoom huyo mtu hata mara kumi iwe mwanamke au mwanaume
Je hawa watangazaji huwa wanapewa maelekezo au ndio mahaba yao binafsi? Kwamba uwanjani kipaumbele ni watu fulani ndio wenye hadhi ya kuwa spotted na camera?
Kama huamini jaribu kuvaa kama waarabu nenda uwanjani utaona kila muda upo live kwa TV
Kitu kingine pale uwanja wa Dodoma kuna nyumba ya ibada alijenga Gadafi ile nyumba kama kuna mechi pale huwa inafanyiwa coverage kuliko hata matukio ya uwanjani hivi azam haina mtu wa maudhui au ni mikakati yao
Upande wa pili kule Singida kuna nyumba ya ibada ipo karibu na uwanja ile nyumba kwa juu ina msalaba kitu cha kushangaza warusha picha huonyesha mashabiki waliokaa kwenye milima wakionyesha mpira ila huwa wanakuwa makini sana ule msalaba usionekane
Kitu kingine wanaopangwa kama watangazaji wa mchezo wanaopewa kipaumbele ni wale wanaosalimia kwa kwa salamu ya dini
TFF mtalaumiwa kama hii ligi itaharibiwa na hawa watu
Mnaona ligi ya Egypt ambayo ni kama nchi ya kiislam hawana ubaguzi wa kidini hata kidogo
Mnaona ligi ya Africa Kusini ambayo ni kama nchi ya kikrsto hawana ubaguzi wa kidini na ligi yao ni bora
Azam media ni kama wana ajenda yao waambiwe tu hawatafanikiwa na wanaweza kupotea kabisa
Embu tutajieni watangazaji wao mkuu,Ila ni kweli, kuna namna flani hawa majamaa wanakuwaga na maudhui yenye mrengo fulani wa Kidini , Ukianza kuangalia kwanzia wafanyakazi wao Walio wengi, Salamu zao , Tamithilia zao na maudhui yake, Yaani japo mimi nawapenda sana kweli lakini kuna namna huwa nashindwa kuwaelewa.
Tatizo na sisi huwa kuna vitu tunaogopa kuvi Address na tunavichukulia poa, Mwisho wake tutakuja kukumbuka shuka Tayari kumekucha
Kwanini isiwe kwenye mpira?Lakini siyo kwenye mpira!
Kuna dada mmoja aliwahi pata kazi kwa kudanganya jina.Hao jamaa ni wapumbavu kweli
Wajinga sana wadini
Huu mchezo upo sanaa hata ajira zao zipo kidini sana
Ni suala la muda huu mchezo utaisha
Kwenye ajira nakuunga mkono niliwahi kukataliwa field kwa kigezo Cha diniazam ni wabaguzi wa kidini kuanzia kuajiri nk.
Umeona baibui kanzu na misikiti au umemuona Aziz ki!?Huo ndio ukweli hata km ni ndugu zako ktk imani mpira wa miguu ni public interest
Ajiandae kufeli na ajenda zao hawatafanikiwa