Wapiga punyeto wanajinadi, wanajilaumu, wamechoka kujichua. Ukweli kuhusu punyeto ni upi?

punyeto ina wadau sana
 
UONGO UONGO UONGO

mwaka wa tatu huu nanyetuka

Bajet yangu ni 5000/- kwa kopo la mafuta ambalo linaisha kila baada ya miezi 7

Gono, UTI, Ngoma, Kaswende, HPV, Herpes na warts hua nazisikia kwenye radio na TV

Sijilaumu Kuwa Chamani

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwenyekiti naona ushatia timu tayari
 
Faida
Nyeto - Inapunguza upotevu wa hela
Nyeto - inapunguza mimba zisizohitajika
Nyeto - Inapunguza matamanio ya mara kwa mara

Hasara
Nyeto - inalegeza mishipa
Nyeto - inaumiza kisaikolojia
Nyeto - inapunguza kujiamini wakati wa kutongoza
Nyeto - inafanya uume kusinyaa sinyaa wakati wa tendo la ndoa
Nyeto - ina uraibu ka sigara/pombe/uzinzi etc
Nyeto - ni ugonjwa wa kisaikolojia (sijawahio ona mnyama ng'ombe/mbuzi/sungura etc akifanya nyetoo)
 
Masturbation ni hand shaking with the real devil 😈, huwezi acha daima mpaka uzaliwe upya close your eyes.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…