Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
Kwanini asivieke stand by kuna ubaya gani yaani put in ambae hajawahi kutumia nyuklia haaminiki ila ukute unaiamini marekaniAngelikuwa ni muungwana; mbona mishemishe za maandalizi kwa hilo ameshaanza e.g. ujenzi wa Shetlers, Vikosi vya nuclear vimesha wekwa standby mode? Huyo jamaa haaminiki.
Kuweka vikosi hivyo katika kiwango cha juu standby nii ishara kuna kitu kinaweza kwenda kufanyika esp.ukizingatia hali tete baina yake na Ukraine inavyosaidiwa na Westerners & USA.Kwanini asivieke stand by kuna ubaya gani yaani put in ambae hajawahi kutumia nyuklia haaminiki ila ukute unaiamini marekani
Nani kaanza kujiua?!Hapana wazayuni ndio wanawaiga wa Houthi
Ukileta ushahidi wa put in kusema kama smo itachukua 72 hrs nitajua kweli umeanza kujitambuaKuweka vikosi hivyo katika kiwango cha juu standby nii ishara kuna kitu kinaweza kwenda kufanyika esp.ukizingatia hali tete baina yake na Ukraine inavyosaidiwa na Westerners & USA.
Ni kweli naiamini Marekeni kwani Kauli zake ni Halisi akiahidi au akisema anatekeleza. Ila sio Putin. Putin tangu atudanganye eti hiyo ni SMO ya 72hrs lakini sasa ni mwaka umeenda-simwamini tena.
*USA anatudanganya anahubiri demokrasia mbona amefadhili mapinduzi mataifa mengi?Kuweka vikosi hivyo katika kiwango cha juu standby nii ishara kuna kitu kinaweza kwenda kufanyika esp.ukizingatia hali tete baina yake na Ukraine inavyosaidiwa na Westerners & USA.
Ni kweli naiamini Marekeni kwani Kauli zake ni Halisi akiahidi au akisema anatekeleza. Ila sio Putin. Putin tangu atudanganye eti hiyo ni SMO ya 72hrs lakini sasa ni mwaka umeenda-simwamini tena.
Kwa hiyo teseme wote ni waongo/wababaishaji?*USA anatudanganya anahubiri demokrasia mbona amefadhili mapinduzi mataifa mengi?
*USA alitudanganya kuhusu haki za binadamu mbona amekua akiwafanyia majaribio ya silaha watu wa Marshall Islands!?
*USA alitudanganya Kuna silaha zenye sumu Iraq na akavamia Iraq.
Ukweli gani huo USA alio nao mkuu!?
Putin hakutegemea kama vita ingechukua muda mrefu hivyo hauwezi kumlaumu.
Huu ujinga huwa mnautoa wapi ?Vita inaanza mwanzo kabisa wanajeshi wa urusi hawakuwa frontline..kikundi cha kukodiwa cha wagner ndio walikuwa staring wa mbele...hawajaanza sasa toka mwanzo urusi inakodi ma-servicemen
Aje achukue na majambazi ya Green guard ya Ccm, huenda yakamsaidie kwenye utekaji.Kweli urusi kachoka hana wanajeshi kitendo cha kuokoteza askari kwenye vikundi vya kigaidi juzi tu sikapewa askari na korea kaskazini, leo tena houth kesho utasikia hezbollah na hamas wataenda kupigana na ukraine
Ninyi ni wajinga sana hata akili ya kuvukia barabara imewashinda. Huo ni ushirikiano miongoni mwa marafiki katika kumkabili adui.Kama ni kweli basi inaonekana jeshi la Urusi limepungua sana wanajeshi wake
Putin hatutegemea kama vita ingechukua muda mrefu namna hii.Kwa hiyo teseme wote ni waongo/wababaishaji?
Political tell u how Truth looks like , but always they lie*USA anatudanganya anahubiri demokrasia mbona amefadhili mapinduzi mataifa mengi?
*USA alitudanganya kuhusu haki za binadamu mbona amekua akiwafanyia majaribio ya silaha watu wa Marshall Islands!?
*USA alitudanganya Kuna silaha zenye sumu Iraq na akavamia Iraq.
Ukweli gani huo USA alio nao mkuu!?
Putin hakutegemea kama vita ingechukua muda mrefu hivyo hauwezi kumlaumu.
Nato ndio walikuwa wa kwanza kupeleka wanajeshi na vifaa Ukraine..otherwise Ukraine ingesahaulika sasa hivi.Huyo Putin si wampe tu hayo majimbo ya Crimea sijui na wapi yaishe?
Kwani anataka nini sasa, anafurahia watu wanauawa yeye amekaa Cremlin anakula kuku tu.
NATO nao wakipeleka wanajeshi si inakuwa vita ya dunia, kwa faida ya nani?
Trump aingie whitehouse amuulize anachotaka Ukraine wampe, wananchi waanze kuishi maisha ya kawaida.
Kwahiyo Israel anavyosaidia na UK na US ana unga unga? Vita zote duniani hata ya Tanzania vs Uganda hatukuwa wenyewe na Amin hakuwa mwenyewe. Tanzania tulikua na askari hadi kutokea Rwanda na Congo mashariki waliotusaidia kupambana na Amin.Ukraine ni underdog ana unga unga sasa super pawa inakuwaje tena?.
Vita nikikutajia vita vya Kagera.
Ndio. Putin hakutegemea iwe hivyo kwa sababu kimahesabu na kimkakati humo kichwani mwake ni sifuri. Hakumsoma vizuri Ukraine- alimwandaestimeti na Hakuzisoma alama za nyakati.Putin hatutegemea kama vita ingechukua muda mrefu namna hii.
Ila USA ni baba wa uongo na unafiki mkuu.
Embu soma hapo juu pameandikwaje kama sio bbc.com.View attachment 3162168
Duh! Mkuu mbona kama una uelewa mdogo kuhusu google search engine,nimekwambia tuishie pale hapa jf hatufanyii kazi google search
View attachment 3163339
Google ni search engine.nimekwambia tuishie pale hapa jf hatufanyii kazi google search
View attachment 3163339
Mkuu achana naye ameamua kuwa mbishi.Duh! Mkuu mbona kama una uelewa mdogo kuhusu google search engine,
Google inakurahishia utafutaji kwa kukuletea taarifa kutoka vyanzo (source) tofauti tofauti ambavyo vinaweza vikawa rasmi au sio rasmi.