Sasa hivi.
Hapa jirani na Hotel ya Blue Sky mjini Tarime ambako kulikua kinaendelea press ya Madiwani wa Chadema Tarime kujiunga na NCCR Mageuzi ghafla kikundi cha Wapiganaji wa Redbrigade wa Chadema kimevamia gari na kupasua kioo cha nyuma.
Bahati nzuri picha yote imerekodiwa.
Majina na picha tukio zima nitaweka hapa.
=====
Gari la Mkuu wa Idara ya Uenezi na Mahusiano ya Umma NCCR-Mageuzi Taifa Ndugu Edward Julius Simbeye limevamiwa na kupigwa mawe na wanaosadikika kuwa ni kundi la Wafuasi wa Chadema alipokuwa akitekeleza majukumu yake ya kichama Wilayani Tarime, Mkoani Mara. Taratibu za kisheria zimafuatwa.