Wapiganaji wa Redbrigade wadaiwa kupasua vioo vya Gari ya NCCR Mageuzi Tarime

Wapiganaji wa Redbrigade wadaiwa kupasua vioo vya Gari ya NCCR Mageuzi Tarime

Tuwekeeni hata picha ya hao wanachama au hamkuwa na camera..
 
Kwa hiyo hao viongozi wa Nccr Mageuzi wanaruhusiwa kufanya siasa kipindi hiki cha Corona! Kweli Mbatia amechanga karata zake vizuri. Chadema isipokuwa makini, mwaka huu itapotelea kusikojulikana.
 
Wewe na wenzio, mbinu zenu ni za kitoto sana kama za akina Ndugai na yule aliye mafichoni kwao.
Hamtafanikiwa
 
Acha uhuni. Kuna kuzingatia social distancing na kuvaa mask.
Social distancing ndani ya gari? Hiyo siyo hoja hoja ni kuwa polisi huzuia mkutano midogo ya ndani ya Chadema lakini huu wenye watu 1,000 umeruhusiwa kinyume na maelekezo ya serikali ya kutofanyika mikutano ya siasa. Hao viongozi wa NCCR siyo wabunge wa Mara hivyo hawaruhusiwi kufanya mikutano sasa kama polisi ameshindwa kuwazuia siyo vibaya kwa raia wema kuwasaidia.
Usitetee wanaovunja sheria onesha uzalendo kwa kulisaidia jeshi la polisi.
 
Jambo mlilolifanya leo huko tarime sio ustaarabu kabisa. Kila mwananchi anayohaki ya kujiunga na chama chochote ili mradi asivunje sheria na katiba ya JMT.

Leo maelfu ya wanachama wa Chadema wamehamia NCCR Mageuzi huko Tarime nyie mnachanganyikiwa na kulipopoa kwa mawe gari la viongozi wa NCCR Mageuzi.

Huu sio ustaarabu na kama inawezekana msajili wa vyama vya siasa aangalie juu ya usajili wa hiki chama. Maana

inaonekana mpo kwa ajili ya vurugu.

================
Gari la Mkuu wa Idara ya Uenezi na Mahusiano ya Umma NCCR-Mageuzi Taifa Ndugu Edward Julius Simbeye limevamiwa na kupigwa mawe na wanaosadikika kuwa ni kundi la Wafuasi wa Chadema alipokuwa akitekeleza majukumu yake ya kichama Wilayani Tarime, Mkoani Mara.

Vibaraka wa mkoloni mweusi wanatakiwa kushambuliwa violently popote wanapojitokeza
 
Wa chato alienda shule akafaulu akawa mbunge akawa waziri wizara zaidi ya moja miaka kibao halafu akawa raisi wangu wako na wa mbowe


Mbowe ilienda shule akafeli kwa hisani ya baba akawa DJ halafu mbunge


Huoni tofauti hapo [emoji115] kusoma hujui hata picha huioni?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini amejificha chato?
 
Back
Top Bottom