Wapiganaji wa Redbrigade wadaiwa kupasua vioo vya Gari ya NCCR Mageuzi Tarime

Wapiganaji wa Redbrigade wadaiwa kupasua vioo vya Gari ya NCCR Mageuzi Tarime

Nyie wasaliti ni kuwatengua viuno tu,kina ally zona wamekufa,mwangosi ameuawawa katika harakati za chadema kulikomboa taifa halafu nyinyi mnaendekeza njaa kwa kununuliwa na SISIEMU,na bora wamevunja kioo cha gari ilitakiwa mvunjwe viuone nyie wasaka tonge.
Muulize Sultan Mbowe Yale mabilioni waliochanga wabunge na Yale ya ruzuku yako wapi?
 
Matukio ya kishamba ya kurudisha wabunge bungeni waliojiuzulu?

Kwenye Katiba Pendekezwa kulikuwa na kifungu kinataka Viongozi Waandamizi kabla
Mbowe anaongea vizuri sana kiingereza kuliko Mwenyekiti wa CCM aliyejificha CHATTLE ambaye lugha hiyo ni changamoto sana

Jiwe ana beef na Mbowe kwasababu ya Kiingereza!!
 
Acha magufuli tu hata Putin na makel hawamfikii mbowe kwa English MBOWE kawazidi magufuli mpaka uhuni uuzaji wa unga kumiliki chama kama Sacco's yako udj nk

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwenyekiti wa CCM yeye ameimiliki ccm pamoja na akili zao zote na wanafuata mawazo yake. Kwasasa amejificha chattttoooo kuogopa koronyaaaa
 
Nilijua gari lako

Sasa wewe ulikuwa unachapa mguu
 
Ilifaa mchinjwe mnafanyaje mikutano mda huu wa corona
 
Bora wangewauwa kabisa Nccr wote na ccm wote wafe kwa corona.

"Chausiku mupenzi haya yanayokusumbua kama ni maradhi , Yapeleke kwa daktari Mimi siko tiyari kuliacha rumba kwa ajili yako"
 
Uzi niwa saa 8 kasoro dk 3 mpk sahivi ni saa 3dk 13 ushaidi hajaweka na alisema yuko nao pamoja na majina huoni kama anatuchanganya au ni anawatengenezea watu kesi ambao sio wahusika
 
Jambo mlilolifanya leo huko tarime sio ustaarabu kabisa. Kila mwananchi anayohaki ya kujiunga na chama chochote ili mradi asivunje sheria na katiba ya JMT.

Leo maelfu ya wanachama wa Chadema wamehamia NCCR Mageuzi huko Tarime nyie mnachanganyikiwa na kulipopoa kwa mawe gari la viongozi wa NCCR Mageuzi.

Huu sio ustaarabu na kama inawezekana msajili wa vyama vya siasa aangalie juu ya usajili wa hiki chama. Maana

inaonekana mpo kwa ajili ya vurugu.

================
Gari la Mkuu wa Idara ya Uenezi na Mahusiano ya Umma NCCR-Mageuzi Taifa Ndugu Edward Julius Simbeye limevamiwa na kupigwa mawe na wanaosadikika kuwa ni kundi la Wafuasi wa Chadema alipokuwa akitekeleza majukumu yake ya kichama Wilayani Tarime, Mkoani Mara.

NCCR.jpg
NCCR2.jpg
 
Back
Top Bottom