Mwanahalisi20
Senior Member
- May 5, 2020
- 132
- 152
Matukio ya kishamba ya kurudisha wabunge bungeni waliojiuzulu?
Ndiyo maana Watz wameomba wee na Mungu hatasikia kwa maovu haya yanayofanyika Tanzania kwa sasa!!!
Matukio ya kishamba ya kurudisha wabunge bungeni waliojiuzulu?
Mh...Vibaraka wa mkoloni mweusi wanatakiwa kushambuliwa violently popote wanapojitokeza
kush na Wisdom
Hilo swali ungemuuliza mbowe ikiwa yeye ni mbunge wa hai na yupo dar unashangaa vipi akiwa chato? Nchi yote ni ya kwake popote anapo jisikia kwenda anaenda huyo ndio raisiKwanini amejificha chato?
mkuu nakushuhudia umeshachoka sana kutetea upuuzi tena yaani!Ni jambo jema!
Hujitambui wewe, unasema matukio yote yamerekodiwa sasa unashindwa nini kuyaweka?
In God we Trust
Usaliti ni laanaSasa hivi.
Hapa jirani na Hotel ya Blue Sky mjini Tarime ambako kulikua kinaendelea press ya Madiwani wa Chadema Tarime kujiunga na NCCR Mageuzi ghafla kikundi cha Wapiganaji wa Redbrigade wa Chadema kimevamia gari na kupasua kioo cha nyuma.
Bahati nzuri picha yote imerekodiwa.
Majina na picha tukio zima nitaweka hapa.
=====
Gari la Mkuu wa Idara ya Uenezi na Mahusiano ya Umma NCCR-Mageuzi Taifa Ndugu Edward Julius Simbeye limevamiwa na kupigwa mawe na wanaosadikika kuwa ni kundi la Wafuasi wa Chadema alipokuwa akitekeleza majukumu yake ya kichama Wilayani Tarime, Mkoani Mara. Taratibu za kisheria zimafuatwa.
View attachment 1449113
hii hapa kali ya wikiNi jambo jema!
NCCR wamepewa pesa na CCM waidhoofishe chadema ili jumuia za kimataifa wajue ni wapinzani wenyewe kwa wenyewe wanasuguanaSasa hivi.
Hapa jirani na Hotel ya Blue Sky mjini Tarime ambako kulikua kinaendelea press ya Madiwani wa Chadema Tarime kujiunga na NCCR Mageuzi ghafla kikundi cha Wapiganaji wa Redbrigade wa Chadema kimevamia gari na kupasua kioo cha nyuma.
Bahati nzuri picha yote imerekodiwa.
Majina na picha tukio zima nitaweka hapa.
=====
Gari la Mkuu wa Idara ya Uenezi na Mahusiano ya Umma NCCR-Mageuzi Taifa Ndugu Edward Julius Simbeye limevamiwa na kupigwa mawe na wanaosadikika kuwa ni kundi la Wafuasi wa Chadema alipokuwa akitekeleza majukumu yake ya kichama Wilayani Tarime, Mkoani Mara. Taratibu za kisheria zimafuatwa.
View attachment 1449113
Hiyo video ipo wapi? Acha umbea utapakatwaSasa hivi.

Hatari sn"Wapiganaji" ???
Kumbe tayari nchi hii ina vikundi vya wapiganaji nje ya mfumo rasmi wa ulinzi?
Kwa hiyo itakuwa tayari hao Red brigade ni kikundi cha uasi?
Sent using Jamii Forums mobile app