Ungesubiri uvipate ndio uanzishe uziMajina na picha tukio zima nitaweka hapa.
Eti kikundi cha wapiganaji
Kama kikundi cha kigaidi vile
Chadema chama cha fujo na uhalifu, sio cha wastaarabu kabisa. Matukio hayo ni kishamba sana
Matukio ya kishamba ya kurudisha wabunge bungeni waliojiuzulu?Chadema chama cha fujo na uhalifu, sio cha wastaarabu kabisa. Matukio hayo ni kishamba sana