Bushesha jr
JF-Expert Member
- Apr 26, 2020
- 674
- 691
Muulize Sultan Mbowe Yale mabilioni waliochanga wabunge na Yale ya ruzuku yako wapi?Nyie wasaliti ni kuwatengua viuno tu,kina ally zona wamekufa,mwangosi ameuawawa katika harakati za chadema kulikomboa taifa halafu nyinyi mnaendekeza njaa kwa kununuliwa na SISIEMU,na bora wamevunja kioo cha gari ilitakiwa mvunjwe viuone nyie wasaka tonge.
One wrong does not make another wrong correct, mbaya zaidi hao ni madiwani wenu wa cdm.Green guard wakisaidiana na PoliCCM wamewaua Wanachama na Viongozi wangapi wa Upinzani?
Soma Report ya CAG utayaona yalipo.Muulize Sultan Mbowe Yale mabilioni waliochanga wabunge na Yale ya ruzuku yako wapi?
Cape _caboEbu nisindikize safari yangu kwenda cape Delgado Msumbiji. Nalifuata jibwa langu, lipo huko mapangoni.
Matukio ya kishamba ya kurudisha wabunge bungeni waliojiuzulu?
Mbowe anaongea vizuri sana kiingereza kuliko Mwenyekiti wa CCM aliyejificha CHATTLE ambaye lugha hiyo ni changamoto sana
Acha magufuli tu hata Putin na makel hawamfikii mbowe kwa English MBOWE kawazidi magufuli mpaka uhuni uuzaji wa unga kumiliki chama kama Sacco's yako udj nkMbowe anaongea vizuri sana kiingereza kuliko Mwenyekiti wa CCM aliyejificha CHATTLE ambaye lugha hiyo ni changamoto sana
Mwenyekiti wa CCM yeye ameimiliki ccm pamoja na akili zao zote na wanafuata mawazo yake. Kwasasa amejificha chattttoooo kuogopa koronyaaaaAcha magufuli tu hata Putin na makel hawamfikii mbowe kwa English MBOWE kawazidi magufuli mpaka uhuni uuzaji wa unga kumiliki chama kama Sacco's yako udj nk
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kweli mbowe hakuna anae muweza kwa uhuni wake [emoji23][emoji1787][emoji2960]Mwenyekiti wa CCM yeye ameimiliki ccm pamoja na akili zao zote na wanafuata mawazo yake. Kwasasa amejificha chattttoooo kuogopa koronyaaaa