Wapiganaji wa Redbrigade wadaiwa kupasua vioo vya Gari ya NCCR Mageuzi Tarime

Tuwekeeni hata picha ya hao wanachama au hamkuwa na camera..
 
Kwa hiyo hao viongozi wa Nccr Mageuzi wanaruhusiwa kufanya siasa kipindi hiki cha Corona! Kweli Mbatia amechanga karata zake vizuri. Chadema isipokuwa makini, mwaka huu itapotelea kusikojulikana.
 
Wewe na wenzio, mbinu zenu ni za kitoto sana kama za akina Ndugai na yule aliye mafichoni kwao.
Hamtafanikiwa
 
Kama alivyomhuni yule wa chato?
Wa chato alienda shule akafaulu akawa mbunge akawa waziri wizara zaidi ya moja miaka kibao halafu akawa raisi wangu wako na wa mbowe


Mbowe ilienda shule akafeli kwa hisani ya baba akawa DJ halafu mbunge


Huoni tofauti hapo [emoji115] kusoma hujui hata picha huioni?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha uhuni. Kuna kuzingatia social distancing na kuvaa mask.
Social distancing ndani ya gari? Hiyo siyo hoja hoja ni kuwa polisi huzuia mkutano midogo ya ndani ya Chadema lakini huu wenye watu 1,000 umeruhusiwa kinyume na maelekezo ya serikali ya kutofanyika mikutano ya siasa. Hao viongozi wa NCCR siyo wabunge wa Mara hivyo hawaruhusiwi kufanya mikutano sasa kama polisi ameshindwa kuwazuia siyo vibaya kwa raia wema kuwasaidia.
Usitetee wanaovunja sheria onesha uzalendo kwa kulisaidia jeshi la polisi.
 
Vibaraka wa mkoloni mweusi wanatakiwa kushambuliwa violently popote wanapojitokeza
 
Kwanini amejificha chato?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…