Wapiganaji wa Redbrigade wadaiwa kupasua vioo vya Gari ya NCCR Mageuzi Tarime

Usaliti ni laana
 
NCCR wamepewa pesa na CCM waidhoofishe chadema ili jumuia za kimataifa wajue ni wapinzani wenyewe kwa wenyewe wanasuguana
 
Hiyo video ipo wapi? Acha umbea utapakatwa
 
"Wapiganaji" ???

Kumbe tayari nchi hii ina vikundi vya wapiganaji nje ya mfumo rasmi wa ulinzi?

Kwa hiyo itakuwa tayari hao Red brigade ni kikundi cha uasi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ameruhusiwa na nani kufanya mikusanyiko? NCCR wanatakiwa kuelewa jambo moja kuwa HAKUNA aliyefunga ndoa na CCM akatoboa. Muulizeni Lipumba
 
CHADEMA haifi hata siku moja hiki chama kipo vijiji vyote Tz nzima hongera sana CDM mkombozi wa watanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…