kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Chadema wana wivu na Zitto Kabwe kwa kuupiga mwingi mbele ya Rais Samia. Mama Samia alionekana kumuelewa zaidi Zitto kwa lunga na tone aliyotumia kuhusu Mbowe kuliko akina Lisu na Lema. Issue is not what you say but how you say it.
Rais Samia hahusiki na sakata la vyama vya siasa kuzuiwa kufanya siasa wala kesi ya Mwenyekiti Mbowe wala katiba wala tume huru, na inaonekana hata Rais Samia inamuumiza sana moyoni lakini aliikuta kesi hiyo nae kwa kuambiwa tu baadhi ya mambo. Hivyo ni vema chadema na wapinzani wakawa wapole mbele ya Rais mpya ili waanze upya. Lisu na Lema wako ulaya wanakula bata wakati mwenyekiti Mbowe yuko mahabusu. Wananchi wengi wamemuelewa sana Zitto kuliko Lema anaeishi Canada kuhusu alichosema Zitto kwa Rais Samia. Lema anamuonea wivu Zitto kwenye hili kuliko wale wanaotaka wapewe na serikali ulinzi binafsi ndio warudi tz, upuzi kabisa.
Tutumie lugha ya staha na kimama kuliko ubabe, nadhani ni vema Lisu na Lema warudi Tanzania tuanze wote upya tukiwa hapahapa mbele ya Rais mpya.