Wapinzani anzeni upya, Rais Samia ni mpya pia

Mama samia siyo mpya kwani ametokana na chama kilekile
Sio mpya kwenye nini? Utawala wa JPM ulikuwa wa one man show, wasaidizi wake walikuwepo kwa mujibu wa sheria lakini walikuwa hawatumii kwa ushauri wqla chochote, walikuwa hawajui kinachokuwa kinaendelea
 
kwa hiyo mama samia katoka upinzani
 
Maoni ya wananchi yalichakachuliwa Kwa kiasi kikubwa!
Column ilienea,kwani mlipigisha kura Hadi watu waliokuwa wamelazwa India!
Sasa kwanini hamkuendelea na hatua iliyofuata ambayo ni wananchi kuipigia kura!
Mlijua mtaangukia pua Kwa kuwa mlinajisi maoni ya wananchi!
Kilichokwamisha kura ya maoni ni uhakiki na uandikishaji wa daftari.
Muda ulikuwa mchache, Nchi ilikuwa kwenye maandalizi ya Uchaguzi Mkuu.

Kuogopa kuangukia pua sio rahisi wakati Tume ni ya kwao wenyewe.
 
Upepo wa kisulisuli ulimleta kwenye urais, hata mwenyewe haamini kama ndiye rais wa Tanzania kitu ambacho hajawahi kukiwqza
kwa hiyo mama samia katoka upinzani

Kilichokwamisha kura ya maoni ni uhakiki na uandikishaji wa daftari.
Muda ulikuwa mchache, Nchi ilikuwa kwenye maandalizi ya Uchaguzi Mkuu.

Kuogopa kuangukia pua sio rahisi wakati Tume ni ya kwao wenyewe.
sio kweli kaka, kitu pekee kilichowaleta pamoja chadema na CUF wakati ule hadi kusababisha kusimika mgombea mmoja na hatimae CUF kumeguliwa kupitia Prof. Lipumba ni muungano ndani ya katiba. Lisu na CUF walihubiri chuki dhidi ya muungano, wakisema Zanzibar amekoloniwa na Tanganyika hivyo msikubali. Mtu ambae anagombea urais wa nchi hawezi kuuzungumzia muungano hadharani negatively vile ingawa anachosema inawezakuwa ni kweli. Leo hii mgombea wa Republican hawezi kutafuta kura kwa kuhubiri kuwa akiwa rais atarekebisha mfumo wa upigaji kura ili ufanane na ule wa Tanzania, nitafuta electroal college system ili majimbo yote yawe na haki sawa. Kuna vitu kwenye nchi ambavyo ni utamaduni wa nchi, mfano mwenge wa uhuru, muungano, sikukuu, nk. Kila nchi inavyo vitu vya hovyo lakini vipo pale kama utamaduni wao.
 
Shida ya Lisu na Lema wanadhani kuwa wao ndio viranja wa viongozi wote wa vyama vya upinzani. Yaani wakisema tusiende wanataka viongozi wote wasiende hata bila idhini ya vyama vyao. Actually, Lissu na wenzake ndio waliosababisha kukwama kwa mchakato woote wa Katiba mpya kwa kulazimisha Muungano wa serikali 3 na kusababisha yale mazuri yooote kwenye katiba pendekezwa yakosekane mpaka leo. Katiba ile waliyoivuruga ilikuwa na hata tume huru ya uchaguzi lakini Lisu akawachochewa wenzake woote hadi tukaikosa Katiba yote.

Muungano wa Serekali tatu ndio suluhusho la matatizo ya muungano
 
Kama ukiniuliza mimi nitakwambia kuwa serikali ya majimbo ndio lingekuwa suluhisho LA muungano. Majimbo yangekuwa Na serikali zao kama Zanzibar ilivyo Na serikali yao. Zanzibar ingekuwa kama jimbo mojawapo LA Tanzania.
 
Chadema wana wivu na Zitto Kabwe kwa kuupiga mwingi mbele ya Rais Samia. Mama Samia alionekana kumuelewa zaidi Zitto kwa lunga na tone aliyotumia kuhusu Mbowe kuliko akina Lisu na Lema. Issue is not what you say but how you say it.

Rais Samia hahusiki na sakata la vyama vya siasa kuzuiwa kufanya siasa wala kesi ya Mwenyekiti Mbowe wala katiba wala tume huru, na inaonekana hata Rais Samia inamuumiza sana moyoni lakini aliikuta kesi hiyo nae kwa kuambiwa tu baadhi ya mambo. Hivyo ni vema chadema na wapinzani wakawa wapole mbele ya Rais mpya ili waanze upya. Lisu na Lema wako ulaya wanakula bata wakati mwenyekiti Mbowe yuko mahabusu. Wananchi wengi wamemuelewa sana Zitto kuliko Lema anaeishi Canada kuhusu alichosema Zitto kwa Rais Samia. Lema anamuonea wivu Zitto kwenye hili kuliko wale wanaotaka wapewe na serikali ulinzi binafsi ndio warudi tz, upuzi kabisa.

Tutumie lugha ya staha na kimama kuliko ubabe, nadhani ni vema Lisu na Lema warudi Tanzania tuanze wote upya tukiwa hapahapa mbele ya Rais mpya.

Zitto ni kichwa bwana,,,mbowe amshukuru sana ustazi zitto
 
Kuna watu wana akili nyingi sana lakini taifa linashindwa kuwatumia kwasababu eti hawana connections Na systems, au wako upinzani. Uhuru wetu umetafutwa Na akina sykies, sheikh Ramia wa bagamoyo, Rupia, Na wengine ambao hawatajwi wala wqtoto Na wajukuu zao, badala yake unawasikia tu akina Polepole, huyu zitto angekuwa nchi nyingine angekuwa waziri mkuu
 
Shida ya Lisu na Lema wanadhani kuwa wao ndio viranja wa viongozi wote wa vyama vya upinzani. Yaani wakisema tusiende wanataka viongozi wote wasiende hata bila idhini ya vyama vyao. Actually, Lissu na wenzake ndio waliosababisha kukwama kwa mchakato woote wa Katiba mpya kwa kulazimisha Muungano wa serikali 3 na kusababisha yale mazuri yooote kwenye katiba pendekezwa yakosekane mpaka leo. Katiba ile waliyoivuruga ilikuwa na hata tume huru ya uchaguzi lakini Lisu akawachochewa wenzake woote hadi tukaikosa Katiba yote.
Acha upimbi wewe mambo mengi sana yaliyokuwemo kwenye rasimu ya katiba pendekezwa ya Warioba yalinyofolewa na kama unabisha weka hapa rasimu ya Warioba Vs Ile ya bunge la katiba...
 
Issingewezekana yoooote ya kwenye rasimu ya warioba yapite kama yalivyo. Hata hivyo suala LA aina ya muungano ndio lililovunja mchakato wote wa katiba, Na chadema Na cuf walaumiwe kwa hilo. Unajua lazima tunu za taifa zitambuliwe Na ziachwe bila kuguswa sana vinginevyo mtaipa ccm sababu ya kuiba kura kwenye chaguzi zote ili kuzuia wakora wasiuvunje muungano
 
Chadema wana wivu na Zitto Kabwe kwa kuupiga mwingi mbele ya Rais Samia. Mama Samia alionekana kumuelewa zaidi Zitto kwa lunga na tone aliyotumia kuhusu Mbowe kuliko akina Lisu na Lema. Issue is not what you say but how you say it.

Rais Samia hahusiki na sakata la vyama vya siasa kuzuiwa kufanya siasa wala kesi ya Mwenyekiti Mbowe wala katiba wala tume huru, na inaonekana hata Rais Samia inamuumiza sana moyoni lakini aliikuta kesi hiyo nae kwa kuambiwa tu baadhi ya mambo. Hivyo ni vema chadema na wapinzani wakawa wapole mbele ya Rais mpya ili waanze upya. Lisu na Lema wako ulaya wanakula bata wakati mwenyekiti Mbowe yuko mahabusu. Wananchi wengi wamemuelewa sana Zitto kuliko Lema anaeishi Canada kuhusu alichosema Zitto kwa Rais Samia. Lema anamuonea wivu Zitto kwenye hili kuliko wale wanaotaka wapewe na serikali ulinzi binafsi ndio warudi tz, upuzi kabisa.

Tutumie lugha ya staha na kimama kuliko ubabe, nadhani ni vema Lisu na Lema warudi Tanzania tuanze wote upya tukiwa hapahapa mbele ya Rais mpya.
Kavulata: nafikiri hujajua kilichonyuma ya pazia, ndio maana ya kaili yako ni hii. Angalia maazimio ya mkutano huu utajua kuwa kile kilikuwa kiini macho. Watawala wasingependa CDM wawepo ndani ya ukumbi ila ni pressure to za kimataifa sii kingine full cosmetics, fumbua macho Kavulata.
 
Wacha niifanyie Kazi inayostahili. Sema tu furaha yangu ni kuona mbowe Na wenzie wanakuwa huru bila kujali nani alisababisha wawe hiru.
 
Back
Top Bottom