Wapinzani chezeni karata zenu kwa umakini sana kutokana na Rais tuliyenaye sasa hivi

Atazuiwa na wahafidhina wa chama chake. Hawa ndiyo hawataki kusikia ishu ya katiba mpya.
Raisi ni raisi tu,hii sio hoja ya kukamatia kwa sababu ipo kihisia zaidi kuliko uhalisia.

Mambo kibao kayafanya ambayo yanasemwa kihisia kama unavyosema kwamba wahafidhina wanakerekwa lakini ni hisia tu kusema wahafidhina wanakerekwa.

Mfano teuzi zake sasa hivi watu husema anawakwra mpaka wahafidhina, hivyo kama kaweza kuwakera kwa hili pia anaweza kuwakera kwa katiba na wasimfanye chochote zaidi ya kulalamika.

Kauli zake kuhsu mikakati anayochukus dhidi ya korona,hili pia inasemwa kwamba wahafidhina wanakereka lakini wanasema kihisia kama unavyosema wewe,kwa hiyo kama kawakera katika jambo hili anaweza pia kuwakera katika katiba na bado isiwe kitu.

Once mama akishasema kwamba sasa naanza mchakato wa katiba mpya,hao wahafidhina unaowasema wote wataanza kusapoti mchakato huo na kujidai wao ndio wazalendo.

Lakini sasa watu wanaenda na upepo wa mama tuu maadamau hajaona umuhimu wake kwa sasa basi nao wahafidhina unaowasema wanaenda na biti hilo hilo
 
Kwa hali hii ya upinzani wa Mbowe, wa kelele na matusi kama desturi yao,kumbe covid 19 wako sahihi walichokifanya kukimbilia Bungeni na kuwaacha walivyo. Na Hayati Magufuli alikuwa sahihi tu kuwabana. Hawafai.mama asiwalegezee.
Hata kuwaonea hao wabunge viti maalumu ni ubinafsi na wivu wao mbona kila uchaguzi waliposhinda wao walilalamika hauko huru ila wakaenda bungeni why viti maalumu ikawa nongwa, in short Wana mfume dume, na kilicho wakasirisha walitaka waitwe ikulu haraka na Raisi, pia kuwafukuza viti maalumu Sasa baada ya kuona Hali hyo wameanza povu.
 
Wanaongelea Mambo yasiyo gusa wananchi kisa madaraka hata hii katiba ni nzuri licha ya mapungufu yake ila mbona ilikuwa inavunjwa tu vizuri na hawKufanya chochote.
Kabisa mkuu,kama hii katiba tuliyonayo itafuatwa vizuri(licha ya mapungufu yaliyopo)basi ni katiba nzuri sana.

Huwa nawauliza hawa wanaojiita wapinzani...

Wanatuhakikishia vipi kwamba hiyo katiba mpya wanayoidai haitavunjwa kama inavyovunjwa hii ya sasa katika baadhi ya mambo..?
 
Hata kuwaonea hao wabunge viti maalumu ni ubinafsi na wivu wao mbona kila uchaguzi waliposhinda wao walilalamika hauko huru ila wakaenda bungeni why viti maalumu ikawa nongwa, in short Wana mfume dume, na kilicho wakasirisha walitaka waitwe ikulu haraka na Raisi, pia kuwafukuza viti maalumu Sasa baada ya kuona Hali hyo wameanza povu.
Chadema Wana mapungufu yao, Ila kilichofanywa na wale wabunge hakikubaliki hata wangekuwa wa tlp, ule Ni sawa na uhaini
 
Kabisa mkuu,kama hii katiba tuliyonayo itafuatwa vizuri(licha ya mapungufu yaliyopo)basi ni katiba nzuri sana.

Huwa nawauliza hawa wanaojiita wapinzani...

Wanatuhakikishia vipi kwamba hiyo katiba mpya wanayoidai haitavunjwa kama inavyovunjwa hii ya sasa katika baadhi ya mambo..?
Na ujue hii ni interest zao na madaraka why kipindi kile bungeni walitoka na kususa na mijadala Yao ilijaa kwa serikali mbili mara tatu na kusahau Mambo mengine ya muhimu kwa katiba Yani imagine wao walikuwa Wana force serikali tatu na kuacha Mambo mengine.
Mimi naona nchi hii inakwamishwa na wanasiasa pamoja na mihemko Yao ya masilahi binafsi ka kipindi kile walicheza cheza na kususa why mchakato uanze upya, kwanini baadhi ya vitu kwenye hii katiba ambavyo ni outdated visiwe amended tu kuliko kuanza upya mchakato then katikati ukwame Tena, na hii ya Sasa Bora isije tekwa na wanasiasa ka ilivokuwa iliyopita
 
Huu ni ukweli mchungu.

Watakupinga sana lakini huu ndio ukweli ndugu yangu.
Hhahaha mkuu hii hoja sio mara ya kwanza kuitoa hapa,nimeshaisema kwingi lakini watu wanairuka kwa sababu ni hoja ambayo nina uhakika nayo hawawezi kuipinga.

Alafu kitu kimoja mkuu.

Hawa wanaojiita wapinzani ni kuwa wengi ni hawa vijana wenzetu ambao wamelishwa sumu na kuona kwamba ukiwa upinzani ndo unakuwa mtanzania wakweli.

Wengi ni vijana ambao hawana uchanganuzi wa mambo zaidi ya matusi tu kwa kivuli cha siasa.

Wengi ni vijana wa juzi tu hapa wanajifanya wanaipenda nchi hao.

We angalia tu huko mtaani kwako utaona kuwa wengi ni vijana.

Na kwa takwimu zangu tanzania tuna vijana wengi wapumbavu wa kufuata ushabiki kuliko hoja na kuangalia maslahi mapana.

Kama kuna vijana 10 wa tanzania basi 7 ni wapuuzi tu ambao hawana uwezo wa kujadili mambo kiungwana,na hhao ndo wapo katika vyama vinavyojiita upinzani wamejazana.

Hivyo washtuke kwamba vijana bila KUWAJENGA KIFIKRA sio mtaji katika siasa bali ni hasara.
 
Chadema Wana mapungufu yao, Ila kilichofanywa na wale wabunge hakikubaliki hata wangekuwa wa tlp, ule Ni sawa na uhaini
CDM wao ndo walioharibu viti maalumu viko kikatiba na ilitakiwa waende, why wanaume wakikosa wawazuie wanawake kwenda ka si wivu Nini, siku zote huwa wanalalamika wizi ila walienda why kwa viti maalumu. CDM waliamua kumalizia viti maalumu hasira za uchaguzi
 
Na ujue hii ni interest zao na madaraka why kipindi kile bungeni walitoka na kususa na mijadala Yao ilijaa kwa serikali mbili mara tatu na kusahau Mambo mengine ya muhimu kwa katiba Yani imagine wao walikuwa Wana force serikali tatu na kuacha Mambo mengine.
Mimi naona nchi hii inakwamishwa na wanasiasa pamoja na mihemko Yao ya masilahi binafsi ka kipindi kile walicheza cheza na kususa why mchakato uanze upya, kwanini baadhi ya vitu kwenye hii katiba ambavyo ni outdated visiwe amended tu kuliko kuanza upya mchakato then katikati ukwame Tena, na hii ya Sasa Bora isije tekwa na wanasiasa ka ilivokuwa iliyopita
Hayo hawawezi kufikiria kwa sababu wanachodhani wao kwamba katiba ikibadilishwa watachukua nchi.

Wamesusa weeee sasa hivi hapa mtaani wanajifanya kupaza sauti kuubwa wakati sasa hivi hao hawana nguvu tena kama ambavyo walikuwa na nguvu bungeni.
 
Chadema Wana mapungufu yao, Ila kilichofanywa na wale wabunge hakikubaliki hata wangekuwa wa tlp, ule Ni sawa na uhaini
Inawezekana ni kweli hakikubaliki lakini wale dada wametembea na beat. Wamekaa wakatafakari sana wakaona WTF I have some Bill's to pay and Mbowe is not gonna help me. This is my life yaani.

Kamsikilize Mpoki kwenye moja ya interview zake anavyolijibu swali la kwanini alikuwa anashiriki kampeni za chama???
 
Lakini mkuu katiba mpya akitaka kufanya huo mchakato ni hisani yake tu na wala sio lazima yeye kufanya.

Unadhani kwa nini katiba mpya isiwe hisani yake endapo ataamua ?
Kumbe haki ya watanzania inatolewa kwa hisani ya mtu fulani.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
CDM wao ndo walioharibu viti maalumu viko kikatiba na ilitakiwa waende, why wanaume wakikosa wawazuie wanawake kwenda ka si wivu Nini, siku zote huwa wanalalamika wizi ila walienda why kwa viti maalumu. CDM waliamua kumalizia viti maalumu hasira za uchaguzi
Hii hoja hawawezi kuijibu mpaka kiama.

Kama wizi ulikuepo hata wao wakiwa wabunge kwa kauli zao wenyewe za wakati huo.

Kwa maana hiyo kama kususia ilikuwa wasusie tokea zama zzile za ubunge wao kwa kigezo cha uchaguzi kuwa haramu kama wanavyosema.

Hivyo na hawa wabunge 19 wana haki yao ya kuwa bungeni licha ya kuwa uchaguzi unasemwa ni haramu lakini acha waingie bungeni kama walivyoingia wao bungeni kwa chaguzi ambazo wanasema ni haramu
 
Hhahaha mkuu hii hoja sio mara ya kwanza kuitoa hapa,nimeshaisema kwingi lakini watu wanairuka kwa sababu ni hoja ambayo nina uhakika nayo hawawezi kuipinga.

Alafu kitu kimoja mkuu.

Hawa wanaojiita wapinzani ni kuwa wengi ni hawa vijana wenzetu ambao wamelishwa sumu na kuona kwamba ukiwa upinzani ndo unakuwa mtanzania wakweli.

Wengi ni vijana ambao hawana uchanganuzi wa mambo zaidi ya matusi tu kwa kivuli cha siasa.

Wengi ni vijana wa juzi tu hapa wanajifanya wanaipenda nchi hao.

We angalia tu huko mtaani kwako utaona kuwa wengi ni vijana.

Na kwa takwimu zangu tanzania tuna vijana wengi wapumbavu wa kufuata ushabiki kuliko hoja na kuangalia maslahi mapana.

Kama kuna vijana 10 wa tanzania basi 7 ni wapuuzi tu ambao hawana uwezo wa kujadili mambo kiungwana,na hhao ndo wapo katika vyama vinavyojiita upinzani wamejazana.

Hivyo washtuke kwamba vijana bila KUWAJENGA KIFIKRA sio mtaji katika siasa bali ni hasara.
Umeongea ukweli mtupu ndugu.
 
Na ujue hii ni interest zao na madaraka why kipindi kile bungeni walitoka na kususa na mijadala Yao ilijaa kwa serikali mbili mara tatu na kusahau Mambo mengine ya muhimu kwa katiba Yani imagine wao walikuwa Wana force serikali tatu na kuacha Mambo mengine.
Mimi naona nchi hii inakwamishwa na wanasiasa pamoja na mihemko Yao ya masilahi binafsi ka kipindi kile walicheza cheza na kususa why mchakato uanze upya, kwanini baadhi ya vitu kwenye hii katiba ambavyo ni outdated visiwe amended tu kuliko kuanza upya mchakato then katikati ukwame Tena, na hii ya Sasa Bora isije tekwa na wanasiasa ka ilivokuwa iliyopita
Mimi nadhani muda sahihi ukifika kama alivyosema mama. Katiba iliyopo ifanyiwe marekebisho tu.

Kuna vipengele virekebishwe baaaas.

Haina haja ya kutumia mabilioni ya kodi za wananchi kwa jambo la kuanza upya mchakato wa katiba
 
Atazuiwa na wahafidhina wa chama chake. Hawa ndiyo hawataki kusikia ishu ya katiba mpya.

Na mama lazima awaogope wahafidhina maana wanaweza ku-,tamper na safety and securiity ya rais.
Kwshiyo mkipiga kelele na kutukana ndo watalegea?,anzisheni vita basi tujue moja...
 
Atazuiwa na wahafidhina wa chama chake. Hawa ndiyo hawataki kusikia ishu ya katiba mpya.

Na mama lazima awaogope wahafidhina maana wanaweza ku-,tamper na safety and securiity ya rais.
bado hujajibu swali uliloulizwa hapa
 
Kwa m

Kwa matusi ya vijana wa CHADEMA? Wacha tuendelee hivihivi tu aisee, kila ukishauri unaishia kutukaniwa mpaka wazazi.

I've never been a fan wa CCM Ila kwa sasa it's enough hakuna uelekeo acha tujiunge na hao CCM sasa tuibe tu wanetu waishi vizuri maana upinzani haupo serious zaidi ya kutukanana mitandaoni tu na hoja zilizokosa strategy.

Nilichogundua kwa nchi hii, bado sana tunapotezeana muda tu. Heri kuiba maisha yaendelee wajinga ndio waliwao.
Mkuu, hapa unaweza tukanwa mpaka kijiji ulichosoma aiseee, hahahaha
 
Back
Top Bottom