JF ya sasa inashangaza kidogo... 2018 CHADEMA walifanya amendments ya sera zao na kuongeza mfano sera ya jinsia/wanawake, sera ya uchumi ikahuishwa, sera ya vijana n.k sasa unaposema hawazungumzi masuala ya wananchi upo updated?
Bajeti kivuli kila mwaka huwa wanatoa umewahi kusoma hata moja?
Ilani ya uchaguzi ulisoma? Agenda mfano za Private-sector driven economy (pure market economy) ambayo ndio sera kuu ya CHADEMA haigusi maisha ya Mtanzania??
Kabla hatujakosoa tuwe na facts sio mihemko.... Hao waTanzania kama hawajui hta kodi kupandishwa kiholela inatokana na mfumo wa katiba basi ni wananchi dull kuliko wote duniani.